Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Nimeshakujibu na kukuonesha matusi ya gwajima hapo juu! Au bado hujaelewa? Badilisha mwelekeo wa akili zako from your ass to your head. Si umesema mwenyewe kichwa ndio mtu? Au kichwa chako ni hicho ulichokiinua kwenye profile pic yako?

Dogo bado hujajibu swali,jibu swali langu hapo juu,swali ni kwamba je Paulo ua Yesu alitukana?

Kwa akili yako inawezekana umejibu lakini umejibu swali ambalo hukuulizwa.mimi sijauliza kuhusu matusi ya gwajima. Jifunze kusoma vizuri na kuelewa,sasa jibu hili swali hapa chini

JE PAULO AU YESU WALITUKANA WALIPOWAITA WATU WAPUMBAVU,WAJINGA NA WASIO NA AKILI?
 

Kwanza nijibu unatumia kiungo gani kufikiri? Your head or your ass? Nisije kuwa napoteza muda wangu bure kukuelimisha.
 
Kwanza nijibu unatumia kiungo gani kufikiri? Your head or your ass? Nisije kuwa napoteza muda wangu bure kukuelimisha.

Dogo jibu swali langu hapo juu,je Yesu na Paulo walipowaita watu wapumbavu walitukana?

Hujajibu hilo swali dogo,kama umejibu fanya multiple quoting kuonyesha jibu lako au sema jibu lako ni post namba ngapi basi.

UMeonyesha matusi ya Gwajima lakini mimi sijauliza kuhusu Gwajima,nimeuliza kuhusu Yesu na Paulo na nikatoa Bible quotes.

Jibu swali langu tafadhali.
 
Pengo amekosa mashiko tena mbele ya Jumuiya za Kikristo na Baraza la Maaskofu Tanzania ndio mana alishindwa kupeleka hoja yake mbele ya wenzake, Pengo amechuja na amekosa mwelekeo kabisa juu ya suala hili.

Kusema wakristo wajiamulie mambo yao ni kukimbia majukumu ya Kulichunga na Kulilinda Kanisa la Tanzania.

Twafahamu fika Maaskofu ndio waangalizi wa makanisa na hivyo ni lazima watoe matamko ya kulilinda kanisa ila kuwapelekea waumini wenyewe jambo hili ni sawa na kuwaruhusu waende wakadanganyike na mwishowe kupotea kwa ushawishi wa wanasiasa wanaotafuta Madaraka kupitia hoja ya Mahakama ya Kadhi nchini.

Kwa kulijua jambo hili ndio mana hata Kanisa Katoliki lina chombo chake cha wasomi/wanazuoni kadhalika na waislamu ili kuzipima hoja zinazoweza kuleta madhara kwenye imani au dini zao.

Hakuna namna yeyote ya kumtetea MUASI wa ukristo Tanzania, Mnafiki na Msaliti.

Alitakiwa kuwasilisha mawazo yake mbele ya Baraza na sio kwenye kadamnasi.

Haibishaniki jambo hili kuwa Pengo ni muasi, msaliti na Mnafiki.
 
Kwanza kubali kwamba gwajima ametukana na wanaomuunga mkono wamepotoka kama yeye ndio tuendelee na bible knowledge unayoitaka.
 
wakati unaongea na mzee wako jaribu kumwambia hilo neno "mpuuzi" alafu turetee mrejesho hapa

.
mzee anaejiheshimu hata siku moja huwezi kuthubutu kumwita mpuuzi ila mzee asiyejiheshimu na msaliti kwa familia automatically ni mpuuzi hata kama mtu hajamwita hivyo.
pengo amejidhalilisha kwa kuuthibitishia umma kuwa maamuzi yaliyofikiwa ndani ya taratib za kisheria na maaskofu wakiwemo wakatoliki hayana nguvu wala maana katika muono wa kibinafsi wa yeye pengo. sii hili tu hata kauli ya pengo kuhusu mlipuaji wa bomu kanisani Olisati ilikuwa tatanishi na kama ya mtu aliyerukwa akili.
pengo ana tabia ya kuthalilisha na kufanyia mzaha mambo muhimu na ya msingi. havumiliki na ndio maana wengine kama kina Gwajima wanamtaja kwa jina la sifa yake.
 
Kwanza kubali kwamba gwajima ametukana na wanaomuunga mkono wamepotoka kama yeye ndio tuendelee na bible knowledge unayoitaka.

Kubali kuwa Pengo ni Mnafiki na Msaliti kwa kuweka mbele mahaba yake na CCM badala ya kusimamia Matamko na mambo yenye tija na kanisa.
 
Kwanza kubali kwamba gwajima ametukana na wanaomuunga mkono wamepotoka kama yeye ndio tuendelee na bible knowledge unayoitaka.

Hahahahahahaaaa! umenisababisha kucheka.

Mkuu naona unajaribu kukwepa swali langu kisiasa,mimi sijauliza kuhusu Gwajima lakini wewe unataka kunilazimisha au kuhamisha point yangu kwenda kwa Gwajima.

Nikuombe ishu ya Gwajima tuiweke pending kwanza,ujibu swali langu kuhusu Yesu na Paulo.
 
Pengo alistahili kubabuliwa tena Gwajima amemstahi sana!! Mnafiki anaambiwa mnafiki hali kadhalika mpuuzi!
Hatuwezi kulea maradhi ya wanafiki eti tumwambie pengo chumbani kakosea!
Anababuliwa hadharani kama alivyochemka hadharani!
 
Acha kuropoka, kama huna cha kuongea kaa kimya.
 

Uzi huu unazungumzia alichoongea gwajima kwa askofu Pengo. Na hoja ya msingi hapa ni endapo kauli alizotoa gwajima dhidi ya askofu Pengo ni matusi au sio matusi. Wewe ndio unataka kunitoa nje ya mada ndio maana nakushauri uweke bayana msimamo wako katika hili kabla hatujatoka nje ya mada. na swali lako ni jepesi sana ukipenda unaweza hata kufungua uzi mpya tukaongea kiundani kuhusu ujinga, upumbavu, kashfa, kejeli, matusi. n.k. kwa sasa tuutendee haki uzi huu. Niko makini mkuu
 
Jamaa anasaka sadaka kwa kick ya Pengo :smile-big:
 
BARAZA LA VICHAA CHADEMA ( BAVICHA) wapo ajirani jf. Hata Mungu wanaweza mtukana
 

Achana nao hao wamekula maharage na pengo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…