Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?Heshima kwenu Wanabodi
Wote mtakuwa mmemsikia jinsi Mchungaji Gwajima alivyomtusi Kardinal Pengo juu ya msimamo wake kwenye tamko lilotolewa na Maskofu...Na katika shutuma za Gwajima alisema kuwa kuna mtu yupo nyuma ya Kadinali Pengo kumbe ni Pinda aka wapigwe tuu.
Waliopo ndani wananyetisha kuwa Pinda na Pengo wanaurafiki wa siku nyingi ambao unachagizwa na wawili hawa kusoma seminari moja na wote wakiwa ni wafipa. Tamko alilolitoa Kadinali pendo inasemakana ilikuwa kwa maagizo ya Pinda. kitu ambacho kiliwasikitisha Maskofu na waumini wengi maana Pendo alishiriki katika zoezi zima kisha akaja kutoa tamko ambalo kwa tafsiri nyepesi ni kama Pengo alikuwa ana likwepa tamko lililo tolewa na Maaskofu.
Baada ya Gwajima kuhamua kumtolea uvivu Pengo na Kumpa Vipande Vyake( Japo matusi na maneno ya Gwajima hayakuwa ya kiungwana) kimemkera sana Pinda na sasa vijana wapo kazini kufuatialia kanisa na Gwajima Soon utasikia ...... Japo Maofisa waliopewa kazi hawajalifurahia sana hili na walimshauri aliyewatuma kuwa serikali isijiingize kwenye hili bali waachie maaskofu wenyewe.
Urafiki huu kati ya Pinda na Pengo unahusishwa na harakati za uungwaji mkono katika mbio za uraisi kitu ambacho kinazidi kuonyesha ni jinsi gani CCM kupitia wanachama wake ambao wanawania uraisi wanavyo tumia mbinu chafu.
Naomba kuwasilisha!
Waliopo ndani wananyetisha kuwa Pinda na Pengo wanaurafiki wa siku nyingi ambao unachagizwa na wawili wote wakiwa ni wafipa.
Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?
Kwa uwongo hujambo. Pinda sio Mfipa kabila yake ni mkononko
....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.
Kama ulivyo wacha wafu wazikaneThis is too much..
Hapa Ndipo Pengo Anawaona Wapuuzi na Msiotumia Utashi... Hao Watu unaowatetea Watapiga Kura Ya HAPANA kisa Tu Eti Mahakama Ya Kadhi haipo..
Mnakuwa Vipofu kwa Mambo Mengine ya Muhimu mnang'ang'ania Mihemko ya Kidini na Kibaguzi...
Inamaana Mahakama Ya Kadhi Ingewekwa Halafu Haki za Binadamu zisiwepo Basi Waislam Wangepiga Kura Za NDIYO..
MTAKUWA NA AKILI ZA MATOPE NYIE
Si unajua tena kabanwa kuhusiana na kina mama lakini nafsi yake inapenda kuwa karibu sana na kina mama? Naye ni binadamu bado adrenalin zinafanya kazi. Anawahitaji zaidi kinamama hao wakati huu kuliko hata zamani kwa kuwa sasa ni mgonjwa.Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?
Acha mapenzi ya kutumia moyo weweee. Pengo ni mtoto wa kiume, agangamalee, mmekalia katukanwaa katukanwa, hilo la usaliti wa wakubwa wenzie mnaona kama Pengo anacheza mdako??? Grow up!
Sasa ulikuwa unakurupuka nini kama chiriku jike....Kwann usijipe muda wa kupitia hotuba ya Pengo kisha utumie akili yako kuchanganua..??Asante Kikulachochako, Asante kwa kunipa hoja ya upande wa alichosema Pengo! Naomba tafadhali unipatie source nami nimsikilize/nimsome Kardinali Pengo. Please kama unayo.
Hauko nchi hii Mufti alitamka hadharani sio mara moja au mbili na shura ya maimamu kuwa watapiga hapana mpaka mahakama ya kadhi iwekwe humo kwenye katiba!!! Yasikutoke mapovu mengi IQ yako unaweza kuiangalia kwa majibu yako!!Maana unavyopost huna tofauti na Gwajima!!