Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa hiyo ngabu unamuunga mkono bashite katika tuhuma zinazomkabili..... Coz naona tofauti yako na ngwajima itakuwa ni kwa sababu tu amemuattack DB
KWANI GWAJIMA NDO NANI?Heheheeeee mungu wangu eeeeh
Hiyo service lazima itakuwa inapatikana kwa Gwajima tu.
😀😀
Unataka ushahidi gani ngabu,.... Kwa serikali hii namna inavyoendeshwa na kwa jinsi lilivyo zungumzia hili swala ni ushahidi tosha.... Mamlaka za uteuzi ifanye finishing wamle kichwa.Ninachokiunga mkono ni ukweli na haki tu.
Kama Makonda kafoji vyeti na aende jela.
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kwamba ni kweli kafoji.
Unataka ushahidi gani ngabu,.... Kwa serikali hii namna inavyoendeshwa na kwa jinsi lilivyo zungumzia hili swala ni ushahidi tosha.... Mamlaka za uteuzi ifanye finishing wamle kichwa.
juzi umeomba mwenye ushahidi ajitokeze!
haya gwajima amemtafuta mwalimu wake, maajabu zaidi jana mpaka leo unapiga kabla hata hujasikia huyo mwalimu anazungumza nini!
Hata wewe ungekuwal smart kichwani usingediriki kufanya kaxo hiyo ya kuwatawaza wazungu huko utumwani marekaniUnajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.
Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.
Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.
Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.
Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.
Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].
Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.
Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.
Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.
Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!
Tokea Gwajima amchane makonda nimekuwa nakufatilia sana kila thread yako una mshambulia Gwajima kisa kamgusa Ngosha mwenzio acha chuki zisizo na maana haya ungekuwa wewe umesingiziwa kwamba ni drug dealer ungejisikiaje vileUnajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.
Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.
Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.
Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.
Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.
Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].
Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.
Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.
Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.
Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!
Gwajima fanboy logic😀!
Kwa hiyo kama yeye ni Msukuma mwenzangu ndo nini?
Usukuma unahusiana nini na nilichokiandika hapo juu?
Wafuasi wa Gwajima bana...mnatia huruma.
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.
Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.
Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.
Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.
Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.
Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].
Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.
Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.
Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.
Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!
Tokea Gwajima amchane makonda nimekuwa nakufatilia sana kila thread yako una mshambulia Gwajima kisa kamgusa Ngosha mwenzio