Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Na-download vipi hii audio?
Watanzania wanafurahia masahibu ya wengine, ni kama watafaidika ikiwa Emma ataingizwa majaribuni.
Pauline Gekul alikuwa chadema na akina maranja masese. Alijitoa huko na kurudi ccm kipindi jiwe na cohorts wake wanawanunua upinzani.
Alipofika ccm, alianza kulamba vyeo mpaka sasa maranja masese anapomuonea gere.
Kama jamaa alifanyiwa ukatili kwa amri ya Pauline, kwa nini hakuenda polisi kushitaki?
Masese acha ugaidi wenu
 
Angeshitaki vipi wakati akiwa ndani (korokoroni)
Jambo moja li wazi, mpaka rais amemtumbua basi kuna kitu! Urais ni taasisi kubwa isiyoendeshwa kwa mihemko!
 
crdb wamemkana Emanuel, my classmet pale bush sek , mwamba alikuwa ni mkimya hata hawez kuongea na mtu.
Alishapata ujanja wa kuongea hadi kutukana.

Usiombe likukute. Hii familia inahitaji faraja siyo wakat wa kushangilia matatizo ya mtu. Kuna Leo kwake kesho kwako
 

Mambo ya kuamini waganga wa kienyeji? Kwa akili hii tu hafai kuwa kiongozi hata nyumba kumi.

Kesho mganga akimwambia uongo mwingine ataenda kutesa wengine. Bila shaka kwa akili hizi ameshaonea wengi wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…