Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wengine hata hizo kazi wanapata kwa kujuana kama una connectionHalafu huyu jamaa mbona inaonekana kichwani hamna kitu. Huko CRDB anafanyaje kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hata hizo kazi wanapata kwa kujuana kama una connectionHalafu huyu jamaa mbona inaonekana kichwani hamna kitu. Huko CRDB anafanyaje kazi?
Tena gaidi mbowe akinyogwa liwe fundisho kwa magaidi wengineUna hamu na chupa
Watanzania wanafurahia masahibu ya wengine, ni kama watafaidika ikiwa Emma ataingizwa majaribuni.Na-download vipi hii audio?
Kwa hiyo roho yako kwàtuu.
Wairaqwi hao, wazee wa saitaa saiyuuuNdugu wakigomba shika jembe ukalime, wakipatana shika Kapu ukavune...
Nimesikia hapo Kinagongwa Kilugha hadi sio poa, seems hao ni ndugu 🙌
Angeshitaki vipi wakati akiwa ndani (korokoroni)Watanzania wanafurahia masahibu ya wengine, ni kama watafaidika ikiwa Emma ataingizwa majaribuni.
Pauline Gekul alikuwa chadema na akina maranja masese. Alijitoa huko na kurudi ccm kipindi jiwe na cohorts wake wanawanunua upinzani.
Alipofika ccm, alianza kulamba vyeo mpaka sasa maranja masese anapomuonea gere.
Kama jamaa alifanyiwa ukatili kwa amri ya Pauline, kwa nini hakuenda polisi kushitaki?
Masese acha ugaidi wenu
Mkuu, kumbe na wewe huwa unacomment?Hii familia ina tatizo sio bure wao ni kutishia kuua tu 😀
CRDB nao wamemkataa wanasema sio mfanyakazi wao wanasema aliacha kazi tangu 2020Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Aaaaaaah mbona mimi sana tuu 😁Mkuu, kumbe na wewe huwa unacomment?
Nilifikiri staili yako huwa ni kulike tu🤣🤣🤣
Kweli?Aaaaaaah mbona mimi sana tuu 😁
Nimependa mnavyosagia kunguniCrdb wafanya Fact Check kufonfirm kama Ni mfanyakazi wao then after apewe suspension Kupisha uchunguzi mana ana tarnish image ya Bank
Yaani AIBU tupu. Emmanuel na dadake sijui ni Ma Graduate wa wapi. Wamekalia majungu na ushirikina. Mganga kamuambia kuna Vijana wawili wametumwa na mbaya wako kuja kuvuruga biashara yako kisha kukuua wewe mwenyewe. Kusikia tu hivyo kamuagiza Dereva wake kuwasha gari na Kumuambia twende nyumbani mara moja. Alipofika akaenda kuwatendea Vijana wale alichowatendea bila hata kuzungumza nao.