Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Jamaa ni ame confirm kilichotokea kuwa ni kweli. He's a dimwit. Ame mu-implicate dada yake directly.
 
Bwashee umeshakula kitimoto iliyochacha hapo Njombe saivi umevimbiwa unajamba jamba tu.

Usiwe mpuuzi kama akina Gekul. Tutaku record bwashee.

Njoo tule kisusia na mbege. Wachagga sisi sio ma snitch.
Sijajua Kwanini Emmanuel amelinganisha Mapanga na Marungu ( Chadema) vs Chupa (CCM)

Nchi Ngumu sana hii
 
Na ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upite
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani tuwe makini na haya masimu yetu aise! Emma kakaangika kinomanoma mitandaoni sijui atakwepea wapi kashfa hii!!

Hata hivyo kuna kitu hapa, kama vile kifurushi cha neema kimekata kwenye familia ya Gekulu kinaingia cha mikosi sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…