Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022


7 January 2022

Makamu Mwenyekiti Mhe. Tundu Lissu, anazungumza na waandishi wa habari.



Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Wewe kweli ni true jamii forum expert member. Kwa muda mrefu tumekosa very strong arguments like this. Well said and big up
 
Nakmbe
Naomba mwenye summary aniwekee...
 
Tuwekee summary kiongozi kama hutojari. Ingawa kumsikiliza Lisu kwa sauti yake kuna burudani yake.
Dah!

We Matola wewe!!! Nakumbuka back in the days nilikuwa nafanya freelancing!! Moja ya kazi ambazo ilikuwa ukinikuta nazifanya basi fahamu nimechoka mbaya mn , basi ni hiyo kazi ya transcription 😂😂!!

Sikuwahi kupenda transcription hata kidogo manake unaweza kuta audio.video ya saa 1, unatumia hata saa 5 na zaidi!
 

Mkuu Chige,

Asante sana kwa nondo zako zilizoshiba, umedadavua vyema na elimu juu yake

Arguments kama hizi ndio zilipelekea nikavutiwa na JF those years,
sasa hv upuuzi umekuwa mwingi sana inakuwa nadra sana kupata nondo za dizaini kama hii

Salute
 
Pamoja, Kiongozi!!!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Umeweka ukweli wote wazi,hakika umeitendea haki akili.
 
Ndugai alikuwa Spika wa hovyo kuliko wote,lakini kuzungumzia juu ya deni haikuwa kosa,imekuwa kosa kwa sababu tuna rais wa kifalme. Hii point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…