Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

mzee naona ,anahamu ya kuondoka mapema.hajajifunza kwa tajiri wa ayipipi midia!!? Hako kabint katazaa mtt na msela wake ,halafu mzee asingiziwe wake. Baada yapo tujiandae kupata thread za ugomvi wa mirathi!! Hawa wazee wa Kanda maalum sijui vipi!!?
Kanda maalum hatuna upuuzi huo, labda kama unamaanisha Kanda ya kaskazini
 
Anaoaje wakati wa maombolezo ya mkewe alisema nanukuu
"Ni afadhali kwa namna nilivyokuwa nampenda mke wangu ningetangulia mm;
Je kama angetangulia yy je mkewe angepata mtu wa kumuoa?
Kuna mahali huyu mzee anamkosea mkewe na Mungu pia
 
Sahihi kabisa mkuu, watu wengi hasa vijana hili bado hawajalijua ndio maana unaona wanambeza Mrema.

Ila kiukweli usaidizi iwe mke au mume kwa umri kama wa Mrema na hali yake aliyonayo watoto pekee hawawezi kutimiza majukumu yote ni lazima apate mtu wa karibu zaidi hasa wa faraghani kwa utamaduni wetu waafrica lakini.
 
Kumbe Mrema hajiheshimu?
Na kisukari kile ukiongeza na uzee labda aile na meno.
Mara hii ameshasahau yaliyomkuta waziri mwenzake waliyekua nae kwenye Baraza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…