Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Fact tutawagongea wake zenu mpaka basi
 
Bao 5 ni za jogoo anayeanza kubalehe. Kwa sisi tuliopo kwenye ndoa bao 1 au 2 zinatosha kesho uamke na nguvu kwa ajili ya kutafuta pesa.
Kwako tu hata sisi tumeoa ila hatupigi bao kama la kuku sec tu chali
 
Watu wa mikoani wengi bado ni mazombie sana kama wewe.

Mke unaye kila siku hapo nyumbani ndiyo umpige bao 5 kama vile kesho hatakupa tena?

Punguza ujinga
 
Kama una access ya kuichakata kila ukitaka unapiga bao 5 ili ugundue nini?

Hizo 5 labda kwa kigoli unayekutana naye mara moja moja
Fact show show
 
Ukiona mtu anajisifu kulala na mke wa mtu ujue akili zake zipo makalioni na mwisho atakufa maskini
Sisi atuwezi kuacha kuzichakata eti kisa mkeo, mtu mzima hashikiwi fimbo akija geto lazima apigwa bao za kutosha.
 
Sisi atuwezi kuacha kuzichakata eti kisa mkeo, mtu mzima hashikiwi fimbo akija geto lazima apigwa bao za kutosha.
Jifunze kwanza hata kuandika tu

Hakuna neno "atuwezi" kwenye lugha ya kiswahili

Ni moja ya dalili shule ulikimbia

Wenzio wanawaza hela wewe unawaza wanawake
 
Mkuu yuko sahihi, wewee kama unapiga hizo 6 jaribu kuelekeza hizo nguvu kwingine, baada ya muda wewe utakuwa no 1 na Mo atafatia.
 
Ni ukweli usiopingika kwenye ndoa bao moja linatosha. Mimi huwa namfanya kila siku bao moja!
Mwanangu tuko pamoja, ukiikula Kila siku hata Hilo bao Moja unaenda muda mrefu, Siri Iko hapo ndiomaana tunawala kimoja Cha afya
 
Sisi atuwezi kuacha kuzichakata eti kisa mkeo, mtu mzima hashikiwi fimbo akija geto lazima apigwa bao za kutosha.
Halafu walio wengi wanatetea kabao kamoja, sijui kulikoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…