Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Aisee
 
Inategemea na uzito na Hilo bao moja.
Linaweza kuwa bao moja amazing Sana, dakika 45 na shahawa zinazotoka ni nzito kama yoghurt πŸ˜…
 
Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.

Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
Acha ujinga ukikua utaacha...
 

UGALI HAUONGEZI NGUVU ZA KIUME. UNAONGEZA UJINGA TU.
 
Ugali hauongezi nguvu za kiume.
UGALI UNAONGEZA NGUVU ZA KIUME HASWA, NIKIWA KANDA YA ZIWA GEITA KIPINDI HICHO, KUNA MATANDA YA VYAKULA, PALE UWANJA WA KALANGALALA ASEE, NILIMALIZA KULA UGALI TU MSHEDESE UNA SIMAMA BALAAA MPAKA NAONA AI U LABDA KAMA WALIKUA WANAONGEZA DAWA ULE UGALI NI WA DONA
 
Sasa mtu namuweka almost 4days kwa wiki, unadhani hilo bao moja ni dakika tano. The more unavyofanya ngono the more unavyokuwa na stamina. Bao moja la 45mins anakojoa na kukojoa, linamtosha kabisa.
 
Wazee mimi napigaga tuwili tuu! Basi nalala zangu!

Japo siwabezi wazee wa kamoja. Tupo pamoja wazee. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…