Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Yaani wale wazungu walikuwa wanashangaa mpk aibu nimeona mimi aiseee. Kila sehemu inavuja usaha ktk nchi hiii.
 
Unajitahid kutetea serikali san still hoja yako haina ukwel cz.. wew ulijuaje mzee? Au unakula tango pori za wahusika ili kuua soo!!
 
Serikali ya ccm imelaaniwa duniani na mbinguni.

Wazawa wakiua wanyama wa porini kwa ajili ya kitoweo, wanawafunga miaka 20 jela!! Halafu majitu kutoka nje, yanaua wanyama hao hao, na hayachukiliwi hatua yoyote ile.
Laana kubwa, kumgonga mnyama mbugani kwa bahati mbaya unalipishwa faini kwa dola.
Wengine wanasafirisha kabisa nje ya nchi.
 

Mhifadhi mkuu ?? Sio kweli! Tulia soma vzr mkuu .
 
Akilii au matope, eti wanasubiri taarifa kutoka Australia!!! Wao wameshafanya yao, mzigo unapitaje uwanjani kwako, halafu ukaulize uliingiaje nchini kwa watu.
Atapoteza kazi kwa kiherehere cha kutoa taarifa.
Wenye nchi weshafanya yao.
 
Siku watakapoisha wanyama naamini waarabu watawakamata wale wakijani na kuwasindika Kisha kuwapeleka ughaibuni
Siyo kwamba wameshaanza kuwaandalia makazi-jela yao? wakijumlishwa na wanaofiki kama FF.
 
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.

View attachment 2742926

Nimeelewa kwanini ccm wanafukuza masai kwanguvu ngorongoro.

Kwa mwendo huu bora tugawane kila mtu afe na chake,
 
Ni aibu kwa kweli,yaan mpaka parcel inatoka bongo ujue kuna hatua 3

1.Physical inspection ambayo hufanywa na customs na watu maliasili na usalama,Document vs Kilichopo ndani package

2.Kuna Mbwa maalumu ambao hupitia parcel zote before kwa Kunusa

3.Scanner, ambapo mizigo yote inakuwa screened kabla ya kuwatayari kupakiwa airport.

How come vyote hivi havikuonekana/Kuweza gundua.

Inaweza ikawa pia havikutoka Tz.Ila kwa video wakaguzi wa Australia wanasema ni kutoka Tanzania na Kibali Kutoka Tz .je kibari nacho ni feki?
 
Hivi ina maana umeshindwa kutofautisha Austria na Australia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…