PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Nchi imeuzwa hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweni yule Jangili wa CCM aliyekamatwa na Nyama za pori na Magufuli akanyamaza kimya kuna tamko lolote lilitolewaSerikali itoe tamko.
Mzee huez elewa fasihi simulizi 🤣🤣🤣🤣Chadema wametoka wapi hapa kama mmeshindwa na hii aibu yenu acheni vyam vya watu
Unajitahid kutetea serikali san still hoja yako haina ukwel cz.. wew ulijuaje mzee? Au unakula tango pori za wahusika ili kuua soo!!Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.
Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.
Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.
Laana kubwa, kumgonga mnyama mbugani kwa bahati mbaya unalipishwa faini kwa dola.Serikali ya ccm imelaaniwa duniani na mbinguni.
Wazawa wakiua wanyama wa porini kwa ajili ya kitoweo, wanawafunga miaka 20 jela!! Halafu majitu kutoka nje, yanaua wanyama hao hao, na hayachukiliwi hatua yoyote ile.
Msimamizi (Mhifadhi mkuu) mwenyewe ni kada wa CCM, msanii wa nyimbo na pia aliwahi kuwa mbunge viti maalumu kwanini WIZI usifanikiwe na yeye anajinasuaje na tuhuma hii ya utoroshaji wa nyara za serikali?
Aibu sana serikali hii, scanner za uwanja wa ndege JNIA ai KIA kushindwa kubaini kilichofungashwa ndani ya mzigo!!!!
Tunalinda brand ya mavazi. JEZI ya Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Tuko busy kusaka jezi zetu mitaani.
JEZI ya Wananchi wa TanzaniaJWTZ kazi yao ni kutishia raia nguo badala ya kulinda rasilimali za nchi.
Siyo kwamba wameshaanza kuwaandalia makazi-jela yao? wakijumlishwa na wanaofiki kama FF.Siku watakapoisha wanyama naamini waarabu watawakamata wale wakijani na kuwasindika Kisha kuwapeleka ughaibuni
Mna kiwanda cha Kutengeneza hata chupi ?Tulinda brand ya mavazi. JEZI ya Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mmmm haya bhana!Tulinda brand ya mavazi. JEZI ya Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Hivi ina maana umeshindwa kutofautisha Austria na Australia?Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.
Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.
Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.
Mzungu au Mwarabu?Bora mzungu aje atutawale tu, ila tabia hizi za kishenzi na upumbavu haziwezi kutufikisha popote kama Taifa.