Usifanye lolote, hadi Shujaa aingie mtaani kwanza, na kazi halisi ya kulikomboa taifa hili mara ya ili ianze.Mkuu Kalamu mambo ninayosikia kwenye ''corido'' yanatia matumaini japo bado niko sceptical kwa sababu kumwondoa shetani kwenye mwili wa binadamu si kazi rahisi! Ushauri wako ni nini? Nimeshanunua sanduku la Safari Larger nasubiri!
Changu ndio kabisaaa au maji ya siku hizi yanaleweshaKichwa changu kigumu kuelewa.
Wewe ni me au ke?Ndio umejua Leo kuwa Tanganyika ni nchi huru iliyoungana na Zanzibar nchi huru. Poye
Mna ustaarabu gani?Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
Kete pekee aliyonayo nduguyo ni kuwapa upinzani urais!Ili tukose wote!!Hilo linawezekana kabisa!!Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
unajitetea tu ila uliechafuka ni wewe mama hata kama hukumwaga wewe naona umepanic calm down its too late hapo ni kujifariji tu kumebakia ila wamekuweza,wamefanya mambo yao kwa jina lako unadhani kwa kukataa huusiki ndio watanzania tutakuelewa?Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
We jamaa akili zako hazina tofauti na abaya kabisa.Kama ya Aliyekuzaa sio! Hamkufunzwa adili ninyi
Acha bangi za Kikwajuni wewe, chura kiziwi ni wa kibanda maiti.Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Safi sana, bila shaka huyu ni yule mtoto wake wa kike, atafikisha kwa mama yake ujumbe huu.unajitetea tu ila uliechafuka ni wewe mama hata kama hukumwaga wewe naona umepanic calm down its too late hapo ni kujifariji tu kumebakia ila wamekuweza,wamefanya mambo yao kwa jina lako unadhani kwa kukataa huusiki ndio watanzania tutakuelewa?
we unakubali kuongozwa kama remote kwanini hukutumia akili zako toka mwanzo unashtuka kumepambazuka?pole sana damu za watanganyika zipo juu yako either ukatae ukubali na kitu ulichokalia hakikutoshi achia ngazi
Kwa vijembe hivi haiyumkini wewe ni KeOktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Chawa hamuamini!Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Naona umefika mbali! Huwajui Wapemba. Naomba nikwambie tu kwamba achana na Wapemba kwa elimu. Wanayo hii elimu munayojidanganya kuwa wabobezi kwayo, lkn pia wanayo ya madrasa, kama ulivyosema, ambayo ingetosha kuiongoza dunia, seuze Tanzania ambayo ndani yake imo Tanganyika kwa jina la kale.Wapemba jifunzeni kiswahili kwanza ndipo mtafute elimu.... Madrassa yamewatoa akili kabisa
Sijaelewa, na wewe ni buku7 au Mtanganyika? Weka hoja zako vizuri upokee muamala.Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Upo bize na taarabu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli hii nchi kila mtu na lake kichwani