Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Watu mchana wamulika taa jua kiangazini. Kumbe usiku wakuchoma.
Tutaona
Ni kweli na ndiyo maana sisi wajinga wajinga tulimuonya Dkt Samia toka enzi zile za siku ile kwenye sherehe ya wanawake alipochomekewa kuhusu kugombea aisee akaropoka kusema atagombea, na hapo ndipo vita ilianzia rasmi. In short kifo cha Dkt Magufuli kina athari kubwa sana kwa Dkt Samia, maana kauli zake nyingine zilionesha kama alimuua Dkt Magufuli, rejea mfano kauli ya Chalamila. Ili awe poa alipaswa kuachana na kugombea.
 

Tupo ofisini huu mwaka 30. Hao wenyewe wanaopanga washajua wameshindwa.
Mwaka 2023 hakutaka kuendelea, lakini haohao ndio walimshauri aendelee ilipofika mwaka Jana mwishoni Hali ikabadilika ndio mambo ya NRNE yakachachamaa. Na mambo mengine.

Kwa tulipofikia haiwezekani. Ngoja tuone Nani bingwa
 
Ndio nimesema wakati huu itajulikana. Ushanfahamu!
Lisu, polepole, gwajima wote twajua wametumwa na nani. Subirini
Nshakufahamuuu shehee. tulikutana pale makunduchi tukaenda sote mchamba wimaa.

Ushanifahamu shehee??.
 
Hiki ni kiluga gani jomba?🤣
 
Wabaraa mwatuzalau sana siyee wanzanzibari. Lakini safari hii lazima tuwatawalee kotekote mpaka ifike elfu selasini.

Mwatufahamu siye. Mambo yetu taratibu hatutaki papara kama nyie wabaraa. Tushamaliza mchezo pale Dodoma.
 
oktoba ya amani,oktoba ya maendeleo,sio porojo,fitna na uzushi
 
Wabaraa mwatuzalau sana siyee wanzanzibari. Lakini safari hii lazima tuwatawalee kotekote mpaka ifike elfu selasini.

Mwatufahamu siye. Mambo yetu taratibu hatutaki papara kama nyie wabaraa. Tushamaliza mchezo pale Dodoma.

Wao hujifanya watu wa mipango, lakini wakati waliokuwa waongozi sisi tulinyamaza kimya kabisa, kama mtungini. Leo sisi twaongoza, wao hawataki, kila saa nongwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…