Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Weeh, ushejifanya wanijuwa, hali hunitambu eeh!
Twafahamiana shehee, sote twapambania wazanzibari. Mibara ishatutawala tangu uhuru. Safari hii Allah katukumbuka, mama yetu kuendesha nchi kwa uzuri kabisa. Inshalah.
 
Hii mchambawima live
 
Sasa kwanini msirudi kwenye wazo la 2023 na mnataka kuoneshana nani bingwa? Mtauana bure ninyi halafu pensheni zenu wale watoto wenu na wajukuu
 
Hata boxer yako utaiita ya mama!
Kwani shida zako.
Twafahamiana shehee, sote twapambania wazanzibari. Mibara ishatutawala tangu uhuru. Safari hii Allah katukumbuka, mama yetu kuendesha nchi kwa uzuri kabisa. Inshalah.
Sisi twataka amani, wao washika shari. Tulianza kwa salama, sasa wanataka tuharibike. Basi na wapange sasa hivi kama kweli ni mahodari
 
Sawa mpemba..
 
Wao hujifanya watu wa mipango, lakini wakati waliokuwa waongozi sisi tulinyamaza kimya kabisa, kama mtungini. Leo sisi twaongoza, wao hawataki, kila saa nongwa tu!
Wao waongoza tangu uhuru. Sasa twaongoza hadi elfu selasini. Inshalah baada ya mwaka selasini, Dokta Mwinyi ataongoza tena kwa uzuri. Safari hii Alah yuko nasi. Hatutaki nongwa siyee.
 
October tunatiki. Mama Samia 2030. Asiyetaka na ahamie Burundi
 
Mambo ni mengi sana Tanganyika imeingiliwa😂😂😂

Mmeyataka wenyewe. Sisi ni wema, ukija kistarabu. Lakini ukija kishari, twakupika kama urojo wa mchana! Tuliyosema, tuyashike. Makubaliano ni makubaliano bwana. Usimtie mchele kwenye urojo kama huna meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…