Huyo Polepole akija unguja twamgombania. Anaharibu Amani yetu. Ataka shari tu basi. Hatufahamu siye wanzanzibari.Kwani shida zako.
Sisi twataka amani, wao washika shari. Tulianza kwa salama, sasa wanataka tuharibike. Basi na wapange sasa hivi kama kweli ni mahodari
Najaribu kuvuta picha huyu binti mwenye huu mwandiko anafananaje? I bet atakuwa single motherOktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Najaribu kuvuta picha huyu binti mwenye huu mwandiko anafananaje? I bet atakuwa single mother
Sisi twampeleka mpirani, yale ya kina Ronaldo na Messi. Si haya ya ndondo za viunga! Atakuja jua kama bado hajui. Sisi tukikupokea kwa salamu, salimika. Lakini ukija kwa jeuri, tobo iko, kanzu iko, hata ushikwe na kizunguzungu cha kidude!Huyo Polepole akija unguja twamgombania. Anaharibu Amani yetu. Ataka shari tu basi. Hahahaha siye wanzanzibari.
Kifo ni kifo tu
October ya nyoko
astala victoria siempre gentlemanHadi sasa aina za kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah ujumbe utakuwa umewapenya mpaka kwenye mifupa!
astala victoria siempre gentleman
Umewaambia ukweli. Umewachoma kidole msalaani. Ushayashika sehemu mbaya. Safari hii na siye tule urojo.Mmeyataka wenyewe. Sisi ni wema, ukija kistarabu. Lakini ukija kishari, twakupika kama urojo wa mchana! Tuliyosema, tuyashike. Makubaliano ni makubaliano bwana. Usimtie mchele kwenye urojo kama huna meno.
huna haja ya kuweweseka gentleman, nchi ni tulivu na tunasonga mbele kwa amaniNinyi ndio wanafiki wenyewe.
Mwajitia mbele kama mimba kumbe nyoka
huna haja ya kuweweseka gentleman, nchi ni tulivu na tunasonga mbele kwa amani
Na badoUmewaambia ukweli. Umewachoma kidole msalaani. Ushayashika sehemu mbaya. Safari hii na siye tule urojo.
huna haja ya kuweweseka gentleman, nchi ni tulivu na tunasonga mbele kwa amani
Mwenyewe anasema hata kesho wamle Kitanzi yuko tayari lakini hawezi kufurahi yanayoendeleaLissu yuko lupango,hana mpango wa kujipendekeza hata wengine wote wakimgeuka, ni yeye na mabadiliko ya kweli.
Mi ntakua na mashaka na misimamo ya watu wengine lakini siyo Lissu. Watu wa hivi ni nadra kuwapata.Mwenyewe anasema hata kesho wamle Kitanzi yuko tayari lakini hawezi kufurahi yanayoendelea
Hahaha nini kinaendelea jamani mbona hatuelewi
Kuhusu Lissu his Intergrity is UndisputedMi ntakua na mashaka na misimamo ya watu wengine lakini siyo Lissu. Watu wa hivi ni nadra kuwapata.