OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.
1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?
2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.
Ongewezea na wewe