Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

Kuwa Hai si kigezo cha kuwa ana Mungu, mambo ya Mungu yasihusishwe na siasa, waovu na wema watoka kwa Mungu

Ujue " Hata shetani bado yuko hai"
Haya maneno mnayatumia sana kumlinda shetani wenu. Ameshaondoka jamani.

Maana yeye alijiona ataishi milele.
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Ni ushetani na roho mbaya ya mwenyekiti wao
 
Haya maneno mnayatumia sana kumlinda shetani wenu. Ameshaondoka jamani.

Maana yeye alijiona ataishi milele.
Usimuhusishe Mungu na mambo ya kijinga

Huyo aweza kuwa alikuwa shetani
Na aliyebaki hai akawa shetani pia
 
Usimuhusishe Mungu na mambo ya kijinga

Huyo aweza kuwa alikuwa shetani
Na aliyebaki hai akawa shetani pia
Aliyebaki amemfanyia nani ushetani?

Hivi wewe unaona kuwakata watu kumuombea fulani ni kitu cha kawaida kwa akili zako?

Mnatetea shetwani kwa nguvu sana ila ashaliwa na mafunza.
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Ni ROHO ya KISHETANI ya Waliokataza
 
Huyu mama anastahili kupongezwa sana. Kuwa mvumilivu wa kilichokuwa kinaendelea na hana uwezo wa kukithibiti mpaka kudra zilipotuangukia waTZ anastahili pongezi nyingi sana. Unaweza kulipwa lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa katika kipindi kigumu kama wengi wengine😅😅😅😅
Angeachia ngazi
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Shetani aliyekuwepo ikulu ndiye alozuia wabunge kwenda kumuona Lema pia ndio alihusika kumpiga risasi Lissu.

Yote yamekwisha kafa na mavi yake tumboni hakupata hata muda wa kuomba maji.
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Mfano siku ametangazwa hakuna watu kupiga mziki kunywa bia nyama choma. Majuzi hapa nimetoka kuzika mdogo wangu Ila mie sijawakataza kufanya Mambo Yao
 
Walitaka watu wapate nafasi ya kuwaombea wao wakifa.
 
Nisiwe mnafiki niliapa kumsagia kunguni Dracula Jiwe awe hai ama mfu na nilikua na matumaini atafia madarakani na likatimia kweli,
Nilikua Kila nikisikia tetesi anaumwa hata mafua tu natamani apate na degedege Kali afe tu,
Yule baba alikua Cursed since day one
Tokea tukio la Lissu kupigwa risasi Imani na Jiwe ikatoweka japo nilikua namkubali sana before ile 2017 ila nilikuja kujua napotoka kumsapoti Vampire slayer manga nikamuepa!
 
Back
Top Bottom