Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Wacha funza wafaidi lile libichwa na likidevu
 
Halafu anaenda madhabahuni anasema MNIOMBEE.
HUYU MTU ALIKUA NA ROHO YA KOBOKO
 
kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi?
1641107982382.jpeg

Rejea
- Singida: Viongozi wawili wa CHADEMA wamekamatwa wakiwa wamevaa T-shirts za Tundu Lissu zilizoandikwa PRAY FOR LISSU mchana huu

===
Polisi walikanusha hii taarifa
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Haikutaka kuchanganya dini na siasa.😅
 
Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Who said that and Where is it written that TL is God or God chosen? Hapo kwenye "Always mpaka kwenye think" kuna matatizo ya kiingereza.
 
Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Unasemaaa!!!! "Always idiot think?"Jama! Jama! Kiingereza cha wapi hiki?
 
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu.

1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi?

2. Hivi awamu ya tano ilikuwa na maana gani kuwakataza wabunge wa CCM kwenda kumuona G.Lema mahabusu. Daaaah.
Dk.Kafumu na wenzie walishawahi kueleza hili kwamba kamati yao ilikatazwa kumuona mjumbe mwenzao gerezani.

Ongewezea na wewe
Mtamuombeaje mtu muongo baradhuli? Mwenyewe anadai jpm ndio kampiga risasi huku hana ushahidi wowote? Mtu mchochezi yuko tayari kutumika hata kuuza nchi, huyo ndio lissu.
Pia ni namna ya cdm kutaka kila tukio kufanyia siasa huku wakipanga matukio ili wafanye siasa.
 
Back
Top Bottom