Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

Ndiyo ujue kuwa Askofu Mwingira, alipotamka kuwa Ikulu ilikuwa inaongozwa na shetani, alikuwa na hoja

Hivi mtawala wawezaje kuwakataza watu wanaopenda wenyewe kumuombea mgonjwa wao Ili apone?
 
Alikuwepo shetani ikulu....by Askofu Mwingira
 
THE GUILTY ARE AFRAID
 
Mbona Freeman Mbowe hamumuombei?

Au mmekatazwa na awamu ya 5?!!
Unazeeka vibaya au mwaka umeanza vibaya mwenzetu? Kwamba huoni picha na video za maombi mpaka Polisi Mwanza wakaingia Kanisani? Hujaziona maombi mahakamani kabla ya Mahakama kuanza?
Mungu hadhihakiwi, na biblia imeandika, "Mimi ni Mungu mwenye wivu.....". Mungu hawezi kukaa kimya anapoona kikundi cha watu eti Kwa vile kina mamlaka ya kidunia kinazuia watu wanaotaka kumtukuza.
 
Maombi siyo matangazo!
 
Ilikuwa serikali ya kishetani; natumaini yule Lusifa wao wa Chato anakipata cha moto kuzimu
 
Usisahau mama alikuwa makamu wa rais, kazi inaendelea
 

Ndiyo iliyokuwa ikiendesha huo uharamia.
 

kiongozi wa malaika alikuwa akiuogopa Mkono wa Mungu kwa maana alijua "Maneno na Matendo havifanani"
 

Hapa ndipo Mwingira anakuwa sahihi!
 
moto na pepo ni mali ya mwenyezi Mungu..kuingia peponi au motoni ni uamuzi wa Mwenyezi Mungu based on matendo yako ambaye yeye pia ndie anayajua...
Ikiwa ndivyo hivyo basi Abu Jahal, Kaini, watu wa Lut na Farao nao wako peponi au si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…