Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

Wacha funza wafaidi lile libichwa na likidevu
 
Aliyekuwa analazimisha kuombewa yeye, aliona wivu kwa watu kujitolea kwa hali na mali kumuombea Lisu,
Alitaka aombewe yeye kwa lazima
Na yule Bashite mtoto wake mwenye hips na makalio makubwa alienda kulia kanisani akiomba aombewe kama baba yake
 
Halafu anaenda madhabahuni anasema MNIOMBEE.
HUYU MTU ALIKUA NA ROHO YA KOBOKO
 
Haikutaka kuchanganya dini na siasa.😅
 
Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Who said that and Where is it written that TL is God or God chosen? Hapo kwenye "Always mpaka kwenye think" kuna matatizo ya kiingereza.
 
Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Unasemaaa!!!! "Always idiot think?"Jama! Jama! Kiingereza cha wapi hiki?
 
Mtamuombeaje mtu muongo baradhuli? Mwenyewe anadai jpm ndio kampiga risasi huku hana ushahidi wowote? Mtu mchochezi yuko tayari kutumika hata kuuza nchi, huyo ndio lissu.
Pia ni namna ya cdm kutaka kila tukio kufanyia siasa huku wakipanga matukio ili wafanye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…