Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Mkuu mbona haziba!!! hakuna anayezani TL ni Mungu au chaguo lake. Watu Anataka kuona HAKI ikitendeka na hasa kwa mtu wa kiwango cha Mbunge, wapo ona hata mbunge hatendwe hiyo HAKI, sasa sisi akina wali pakavu 😇😇😇
 
Mkuu hivi hadi leo hujatambua kuwa siasa ni kila kitu katika maisha ya binadamu, kwa maendeleo ama ufukara. Ili Nchi iendelee inahitaji Viongozi Bora ambao watasimamia Siasa Safi iliyokubaliwa na wananchi (KATIBA) kinyume inakuwa hujitambui
 
Kwa hari aliyokuwa amefikia Lissu alifaa afungwe kifungo cha mda usio julikana.

Alitumika vibaya Sana.

Ila kwa sasa asamehewe.
 
Ongewezea.
 
Wewe ulikatazwa?? Kuna haja ya kupima akili ya baadhi ya watanzania.Wajinga na wapumbavu kama mleta mada yameongezeka.
 
Ushahidi wako uko wapi kwa yote uliyoongea hapa, usiokoteze maneno.
 
Ndivyo mlivyodanganywa na mungu wenu magufuli?hujui kuwa jpm alikuwa mwongo Sana Kama alivyokudanganya eti uchumi unakua kwa asilimia 7 kumbe hata 4 haujafika
Wewe hukuwa na masikio na macho?

Alikuwa anatutisha tutashitakiwa; Kila jambo likianzishwa anaibuka. Ulikuwa wapi?
 
Ndivyo mlivyodanganywa na mungu wenu magufuli?hujui kuwa jpm alikuwa mwongo Sana Kama alivyokudanganya eti uchumi unakua kwa asilimia 7 kumbe hata 4 haujafika
Lisu akikosoa hapo anamiminiwa risasi na kuonekana ni adui wa taifa.
 
Simple, walihusika wao kumpiga risasi. Jiwe kafilie kwa mbali, acha uoze mafunz wakutafune pumbavu!
 
Shetani wao anaoza huko kaburini. Lisu bado anadunda.
Kuwa Hai si kigezo cha kuwa ana Mungu, mambo ya Mungu yasihusishwe na siasa, waovu na wema watoka kwa Mungu

Ujue " Hata shetani bado yuko hai"
 
Alikuwa halipwi?
Huyu mama anastahili kupongezwa sana. Kuwa mvumilivu wa kilichokuwa kinaendelea na hana uwezo wa kukithibiti mpaka kudra zilipotuangukia waTZ anastahili pongezi nyingi sana. Unaweza kulipwa lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa katika kipindi kigumu kama wengi wengine😅😅😅😅
 
Muombeeni sasa hamjachelewa, so shida ni maombi.
Always idiot think TL is God or God chosen . He is just a mere Small human like you.
Haina haja tena maana waliyetaka alipe kwa dhambi aliyotenda tayari Corona imeshafanya kazi yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…