Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
9% ya kitu gani? Au umelishwa maneno?Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.
Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).
Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%
Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.
Ijumaa kareem.
Maendeleo hayana vyama!
Nina imani akili yako ina tope kidogo!johnthebaptist,
Acha kujidhalilisha! Punguzo la kodi limekuwepo tangu 2016 na hii haina maana nyongeza ya mishahara imekuwepo kila mwaka.
Tehetehejohnthebaptist,
Bwashee sometimes huwa unaandika upuuzi wa maana sana!
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.
Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).
Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%
Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.
Ijumaa kareem.
Maendeleo hayana vyama!
johnthebaptist,
Ignore inakuhusu kwakweli sina namna. Ebu waeleze wanajamvi hii aslimia imeshuka kuanzia mwaka gani?
Hivi unadhani mtumishi anaumia kwa PAYE peke yake, bora hiyo aslimia ingebaki ila ya HESLB wakawapunguzia kurudi awali na waliomaliza waongezewe tu mishahara maana ni haki yao.
Baada ya apo nakupiga ignored. Ahsante sana JF kuweka hii option.
johnthebaptist,
Acha kujidhalilisha! Punguzo la kodi limekuwepo tangu 2016 na hii haina maana nyongeza ya mishahara imekuwepo kila mwaka.
Kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu hili?Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).
Kuitwa wewe ni mpumbavu ni stahiki yako!Nina imani akili yako ina tope kidogo!
utumbo gani tena huuuu ? Et wafanyakazi ni kweli hiii?Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.
Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).
Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%
Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.
Ijumaa kareem.
Maendeleo hayana vyama!
JK alikuwa bonge la kiongozi.JK alipunguza PAYE kutoka 18% ya mwaka 2005 hadi 12% mwaka 2015 na bado alikuwa anaongeza mishahara kila mwaka.
Mleta mada huna hoja.
Wafanyakazi wana hasira sana.