Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

Adui mkubwa wa Tz ni ujinga! Wakati wa JK watumishi wa umma walipunguziwa kodi kila mwaka na mshahara uliongezwa kila mwaka.
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
9% ya kitu gani? Au umelishwa maneno?
 
Sijui kama unatumiaga sehemu ipi ya ubongo au kiungo gani cha mwili wako
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu huyo mtu hata hilo neno HELSB hajui hata maana yake na hajui linahusika na nini hapa Tanzania
johnthebaptist,

Ignore inakuhusu kwakweli sina namna. Ebu waeleze wanajamvi hii aslimia imeshuka kuanzia mwaka gani?

Hivi unadhani mtumishi anaumia kwa PAYE peke yake, bora hiyo aslimia ingebaki ila ya HESLB wakawapunguzia kurudi awali na waliomaliza waongezewe tu mishahara maana ni haki yao.

Baada ya apo nakupiga ignored. Ahsante sana JF kuweka hii option.
 
Hilo ni pipa tu kama ungekuwa unamuelewa usinge jihangaisha naye, nina mjua A-Z kipindi yupo railway, hana kitu kichwani
johnthebaptist,
Acha kujidhalilisha! Punguzo la kodi limekuwepo tangu 2016 na hii haina maana nyongeza ya mishahara imekuwepo kila mwaka.
 
Mshahara wangu wa mwezi huu wameukata/wameupunguza alafu Kuna majitu kama haya yanaongea pumba.
 
Heri yako wewe uliyeona kuwa umeongezewa,wengine hawajaona chochote hivyo usiwasemee tafadhali,ungeongezeka wangekuja humu na tungeona tu furaha zao
 
Wakati Mh Jakaya anaondoka madarakani aliacha kodini asilimia 11 kwa hiyo awamu ya tano imepunguza asilimia mbili tuu.Sasa wewe jamaa inamaana ongezeko la asilimia mbili ndiyo nyongeza ya kuusifia serikali ya awamu ya tano? Mbona awamu ya nne kodi ilipunguzwa kutoka asilimia 18 hadi 11 na mshahara uliongezwa ..!!!,Je kwa uwezo huo wa kufikili huoni unahitaji kujitransform akili yaki iweze kuendana na wakati...?.Unajua mshahara unawaasili wafanyakazi mafao yao ya uzeeni na pension zao?, ushauri wangu usipende kuongea ili nawe uonekane umeanzisha uzi Kama hauna uelewa wa mambo tulia subiri vipanga washushe mada.
 
Utumishi is direct proportional to poverty! Jipambanue jiongeze... Mambo ya kumtegemea mwanaume mwenzako akuongezee mshahara ni umbumbumbu.. umachinga unalipa kuliko uwaziri!
 
Mwambieni Magu apunguze na makato ya HESLEB. Ni mzigo Mkubwa Sana. Unawafanya wafanyakazi hasa wa kada ya chini wazidi kuwa wanyonge.
 
Huu uongo unaoenezwa na waimba pambio utasababisha machafuko na kisasi kitakuwa kama cha Liberia kipindi cha Charles Tylor. Amin nawaambia kipindi si kirefu tutashuhudia masikio kuchoka
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
utumbo gani tena huuuu ? Et wafanyakazi ni kweli hiii?
 
Back
Top Bottom