Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyu humjui tu, ni mwanaharakati kitambo. Mimi nimemfahu kitambo 2014 katika harakati za kichama.Huyu Mwambukusi ni nani?. Nimemsikia leo, anaonekana kuwa na kichwa kigumu kama Cha Lisu.
Hili bunge haramu la spika kibaraka ndilo tuliachie eti lizuie mkataba wa kuuza nchi? SubutuuuuMikataba inazuiliwa BUNGENI, ni ujinga kuhisi unaweza kuzuia mkataba kwa kuita waandishi wa Habari.
Kama Bunge haramu, vipi Chama chenu kinachoongozwa na Familia moja tu?Hili bunge haramu la spika kibaraka ndilo tuliachie eti lizuie mkataba wa kuuza nchi? Subutuuuu
Tujadili hoja iliyopo mezani. Bunge haramu, spika kibaraka wa mchongo wanaweza kuzuia mkataba hata ungekuwa umeandikwa kuwa watanyongwa?Kama Bunge haramu, vipi Chama chenu kinachoongozwa na Familia moja tu?
Wewe ni mpumbavuKama Bunge haramu, vipi Chama chenu kinachoongozwa na Familia moja tu?
😆Huyu Mwambukusi ni nani?.
Point yako ni ipi haswa?ni ujinga kuhisi
Huyo mwamba hayuko pekeake!Huyu Mwambukusi ni nani?. Nimemsikia leo, anaonekana kuwa na kichwa kigumu kama Cha Lisu.
Bora kilaza wa siasa ambae hakuthubutu kutuuza kwa wajombaMagufuli alikuwa kilaza wa Siasa!
Watu wanazidi kuelimika kila leoMatundulisu kila kona!
Kama bunge zima limenunuliwa unategemea watazuia nn. Hakuna mahali nguvu ya uma ilishindwa kuleta suluhu, kikinuka hata hao wawekezaji watakimbia wenyewe. Kama watanganyika hatutaki bandari zetu kuuzwa rais anaongoza taifa la watu gani ambao wamemruhusu kuuza bandari kwa warabuMikataba inazuiliwa BUNGENI, ni ujinga kuhisi unaweza kuzuia mkataba kwa kuita waandishi wa Habari.