Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
😆😆😆Bora kilaza wa siasa ambae hakuthubutu kutuuza kwa wajomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Bora kilaza wa siasa ambae hakuthubutu kutuuza kwa wajomba
Sio kuzuia bali kuonesha serikali na ccm kwamba Wananchi hawaitaki mikataba ya kilaghaiMikataba inazuiliwa BUNGENI, ni ujinga kuhisi unaweza kuzuia mkataba kwa kuita waandishi wa Habari.
Ni mzalendo mmoja hivi machachari sanaHuyu Mwambukusi ni nani?. Nimemsikia leo, anaonekana kuwa na kichwa kigumu kama Cha Lisu.
Usalama si ndio wenye nchi. Na wenye ndio boss wao pale juu? Inabidi wakubali tu hakuna namnaHuyo mwamba hayuko pekeake!
Ana watu wazito nyuma yake! Sidhani kama pale usalama wanakubaliana na huu mktaba wa kipumbavu namna hii
Ludism movement, mystery leader ni kama kisa cha panya kumfunga paka kengeleIt is trending now.
Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.
Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe.
Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki.
Mdogo mdogo watafika milioni moja.
Katiba Mpya Katiba Mpya.
Futa Dp world
😆😆😆Wewe ni mpumbavu
Hili jibu linaitwa la kukata na shoka.😆😆😆Tujadili hoja iliyopo mezani. Bunge haramu, spika kibaraka wa mchongo wanaweza kuzuia mkataba hata ungekuwa umeandikwa kuwa watanyongwa?
Uzuri safari hii kina tundu lisu wapo kwanzia makanisani hadi kwwnye vyama vyao sisi wa mtaani ndo usisemeIt is trending now.
Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.
Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe.
Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki.
Mdogo mdogo watafika milioni moja.
Katiba Mpya Katiba Mpya.
Futa Dp world
Kumbe kwa idadi mko akina Lissu zaidi ya 1000Uzuri safari hii kina tundu lisu wapo kwanzia makanisani hadi kwwnye vyama vyao sisi wa mtaani ndo usiseme
Wasiokuwa haramu ndio wepi hao.Tujadili hoja iliyopo mezani. Bunge haramu, spika kibaraka wa mchongo wanaweza kuzuia mkataba hata ungekuwa umeandikwa kuwa watanyongwa?
Ila hakuwa dalali kama MwamvuaMagufuli alikuwa kilaza wa Siasa!
Msukuma yeye anajali mpunga wake umeshaingia......Msukuma na wenzake sijawasikia wakijibu hoja
Kwa bunge la mwenda zake hakuna hata mmojaWasiokuwa haramu ndio wepi hao.