Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 26, 2025 #21 Covax said: Hi jamii ya kitanzania bado sana kama watu wenye elite class bado wanaimani na ushirikina kwa vitu ambavyo ni sayansi kama mpira sasa unategemea nini kwa wale walio vijijini akili zao zitakua je? Click to expand... Basi inabidi tibadili jina kuwa Tanzandumba.
Covax said: Hi jamii ya kitanzania bado sana kama watu wenye elite class bado wanaimani na ushirikina kwa vitu ambavyo ni sayansi kama mpira sasa unategemea nini kwa wale walio vijijini akili zao zitakua je? Click to expand... Basi inabidi tibadili jina kuwa Tanzandumba.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Feb 26, 2025 #22 Ven26 said: Waziri wa serikali anaongelea uchawi mbele ya rais! Aiseee sasa sisi ambao hatuna shule wala expozha tutawaza nini😆 Click to expand... Si ndiyo utamaduni wenu huo mnaojivunia?
Ven26 said: Waziri wa serikali anaongelea uchawi mbele ya rais! Aiseee sasa sisi ambao hatuna shule wala expozha tutawaza nini😆 Click to expand... Si ndiyo utamaduni wenu huo mnaojivunia?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Feb 26, 2025 #23 Awesso yuko sahihi, naunga mkono hoja.
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Feb 26, 2025 #24 Nadhani mh raisi mama samia atakuwa kajua sasa yanga ndio wachawi wakubwa wanaolikwamisha soka letu la tanzania.
Nadhani mh raisi mama samia atakuwa kajua sasa yanga ndio wachawi wakubwa wanaolikwamisha soka letu la tanzania.
Ven26 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 467 Reaction score 981 Feb 26, 2025 #25 SAYVILLE said: Si ndiyo utamaduni wenu huo mnaojivunia? Click to expand... Gaaiii inachokesha akiii
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Feb 26, 2025 #26 MACHADU FC ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Feb 26, 2025 #27 na Hersi anaroga kweli
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Feb 27, 2025 #28 Truth Matters said: Kwa hiyo Simba mnafungwa kwa uchawi, hujuma za marefa au hongo ya GSM? Chagueni moja! Click to expand... Vyote kwa p1
Truth Matters said: Kwa hiyo Simba mnafungwa kwa uchawi, hujuma za marefa au hongo ya GSM? Chagueni moja! Click to expand... Vyote kwa p1