Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

Hi jamii ya kitanzania bado sana kama watu wenye elite class bado wanaimani na ushirikina kwa vitu ambavyo ni sayansi kama mpira sasa unategemea nini kwa wale walio vijijini akili zao zitakua je?
Basi inabidi tibadili jina kuwa Tanzandumba.
 
Nadhani mh raisi mama samia atakuwa kajua sasa yanga ndio wachawi wakubwa wanaolikwamisha soka letu la tanzania.
 
Back
Top Bottom