Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Basi inabidi tibadili jina kuwa Tanzandumba.Hi jamii ya kitanzania bado sana kama watu wenye elite class bado wanaimani na ushirikina kwa vitu ambavyo ni sayansi kama mpira sasa unategemea nini kwa wale walio vijijini akili zao zitakua je?