AY akiri kumiliki nyumba Marekani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nyingine inafoka mpaka kugonga meza hahaha
 

Mbona mapovu hivyo? Alikutenda nini? Msamehe uwe na amani moyoni usikiapo jina lake au habari inayomhusu🤠.
 
Manager Sallam (mtanzania) alipewa dili la uwakala na CMG kumleta Tanzania mwanamziki Jay Martin (mnigeria) kutoka Nigeria.
Inawezekana pia AY alitumika kama wakala kupitia CMG kuwaleta wasanii hao aliowataja
 
Manager Sallam (mtanzania) alipewa dili la uwakala na CMG kumleta Tanzania mwanamziki Jay Martin (mnigeria) kutoka Nigeria.
Inawezekana pia AY alitumika kama wakala kupitia CMG kuwaleta wasanii hao aliowataja


Yeah,well..

......and everybody knows well how CMG pays people well?

CMG paying people well?

Do really CMG knows anything about paying people well?




Hahahahah.....My ribs!
 
Haha! Jamaa umekomaa mpk nyuzi yote umebaki peke yako WWE wanaita last man standing
 

Hivi kile kipindi cha mikasi kilikuwa cha nani
 
Ukitaka uenjoy argument za Wyatt mkute kwenye uzi unamuhusu yule kijana wa Forex haha. Binafsi huwa namsoma na kupita kimya kimya tu.

Ya AY na nyumba yake hongera kwake kama kapiga hatua hiyo.
 
Jibu qn zifuatazo
Ruge na Kusaga walienda US wakiwa watoto?
Je walipokuwa Us watajwa hapo juu walikuwa wakijihusisha na Music Industry?
Hv kwenda US ni bahati?
 
Ingekuwa ni chibudii chibudee ingekuwaje? Insta ingeiomba msamaha ila ndio hivy kila mtu na life style yake hongera Ay
Hivi unadhani watu walifahamu vipi kama AY amenunua nyumba US kama sip pic aliyoweka mwenyewe Instagram?!

Endeleeni kuamini huyu na yule hawana show-off kumbe hawana cha maana cha ku-show off!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…