OK,nimekupata MkuuNilikuwa naongelea jeshi la kitaa wapambanaji "wabeba box" sisi huku.
Ila jeshi la US kuingia, for the most part, inabidi uwe na Green Card
Immigrants in the U.S. military: 8 rules on non-citizen service
Nilikuwa naongelea jeshi la kitaa wapambanaji "wabeba box" sisi huku.
Ila jeshi la US kuingia, for the most part, inabidi uwe na Green Card
Immigrants in the U.S. military: 8 rules on non-citizen service
Misingi bora, malengo mazuri, kujituma, kujua kinachotakiwa na kukitekeleza, kuwa mkweli na uwezo wako, kuomba kusaidiwa pale unapoona umeshindwa, kuwa na utashi, kuheshimu sheria za nchi, kutaka kuchangia katika uchumi, kujua kuishi na watu vizuri, kujiendeleza kielimu,na kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.OK,nimekupata Mkuu
Hebu nipe ABCs za kupata ramani ya kubeba box
OK.....Misingi bora, malengo mazuri, kujituma, kujua kinachotakiwa na kukitekeleza, kuwa mkweli na uwezo wako, kuomba kusaidiwa pale unapoona umeshindwa, kuwa na utashi, kuheshimu sheria za nchi, kutaka kuchangia katika uchumi, kujua kuishi na watu vizuri, kujiendeleza kielimu,na kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.
Mi nabeba box mpaka box lianibeba katika dimensions za Kaluza-Klein manifold yenye eleven sub-dimensions za Calabi-Yau spacetime kama ilivyoelezwa katika M-Theory version ya String Theory.Mazee kwani na wewe ni mbeba boksi kama sisi wengine?
Hahahaaa.
OK.....
So naanzaje kupata connection ya kazi hizo za kubeba box?
I mean start up
Nyani ngabu hebu nipe connection huyu kiranga ananizungusha....nipo serious aseeMazee kwani na wewe ni mbeba boksi kama sisi wengine?
Hahahaaa.
So its better nitafute admission ya chuo then mbele kwa mbeleHapo ndiyopenye tatizo, na hivi Kangi Lugola anataka mkataba wa kazi ...
Watu wengi wamekuja kishuleshule wakaunganisha baada ya kumaliza shule.
Inabidi uwe na nia ya kusoma lakini, na uwe na uwezo wa kulipia pia, kwa sababu watakuuliza na kuangalia yote hayo.So its better nitafute admission ya chuo then mbele kwa mbele
Nyani ngabu hebu nipe connection huyu kiranga ananizungusha....nipo serious asee
OKInabidi uwe na nia ya kusoma lakini, na uwe na uwezo wa kulipia pia, kwa sababu watakuuliza na kuangalia yote hayo.
Una umri gani? Umesoma mpaka wapi?Kwenye fani gani?
Vijana wadogo waliosoma mambo ya IT na wenye uwezo wa kufanya kazi na mifumo yenye teknolojia za juu sana wanahitajika sana Marekani.
Bila ya kuwa na sponsor/scholarship ni vigumu sana,ila si kwamba haiwezekani.OK
Am 31,nimesoma diploma ya medicine(clinical officer)
Ukisema mbovu utafungwa mpaka tukusahau. Ndege mpya haijamaliza miezi miwili inakuaje mbovu?ha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu
Dah,nilisahau, lazima upitie kwa rais wa wabeba box Nyani Ngabu.Nyani ngabu hebu nipe connection huyu kiranga ananizungusha....nipo serious asee
Na kwakuongeza jamaa ana hekari nyingi za mupnga Ifakara.alafu watu wengi watafikiri AY hela kapatia kwenye malipo ya kesi ya Tigo kumbe jamaa kitambo mfukoni yuko vizuri...
ukitaka kumjua jamaa kiundani kuna ile YATCH inakodishwaga kule slip way na fanya research yako vizuri kuhusu mwekezaji wa kisiwa cha mbudya pamoja na viboti vya kwenda mbudya kutokea whitesand hapo ndio utajua AY ni don kitambo.. hadi wenzake huwa wanamuita EL Chapo au senator wa mbudya sababu ya mfuko kutuna
Hapo nimekupata vyema ...ni sawa sawa uambiwe ukienda kuishi dar iepuke tandale, manzese, na kigogo kwamba kule kuna robbery etc!Wakazi wenyewe wanaijua miji yao, wanajua wapi pa kwenda, wapi si pa kwenda.
Tabia moja ya miji ya Marekani, unaweza kukuta mji sehemu hii poa, ukivuka kidogo tu, umeingia sehemu si poa.
Hizi lists zinaonesha average figures, sasa kwa mtu anayejua sehemu poa na sehemu si poa, anaweza kuzishangaa figures kwa sababu yeye kaishi miaka yote na hajawahi kuibiwa, labda kwa sababu wezi wanamjua, au hatembelei sehemu ambazo zina wizi.
Sasa ukienda wewe mgeni kichwakichwa unauawa mara moja.
Sawa...zinaitwa side businezaahaiwezi kuwa mziki jamaa ana mishe nyingi sana sema ndio hivyo kuzijua kazi sababu ya usiri
Nyingi sana aseeMzigo wa kutosha mama more than 2b.
Tupe chanel basi mkuu!Karibu. Jeshi linahitaji watu kibao kupambana huku.