AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

OK,nimekupata Mkuu
Hebu nipe ABCs za kupata ramani ya kubeba box
Misingi bora, malengo mazuri, kujituma, kujua kinachotakiwa na kukitekeleza, kuwa mkweli na uwezo wako, kuomba kusaidiwa pale unapoona umeshindwa, kuwa na utashi, kuheshimu sheria za nchi, kutaka kuchangia katika uchumi, kujua kuishi na watu vizuri, kujiendeleza kielimu,na kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.
 
OK.....
So naanzaje kupata connection ya kazi hizo za kubeba box?
I mean start up
 
So its better nitafute admission ya chuo then mbele kwa mbele
Inabidi uwe na nia ya kusoma lakini, na uwe na uwezo wa kulipia pia, kwa sababu watakuuliza na kuangalia yote hayo.

Una umri gani? Umesoma mpaka wapi?Kwenye fani gani?

Vijana wadogo waliosoma mambo ya IT na wenye uwezo wa kufanya kazi na mifumo yenye teknolojia za juu sana wanahitajika sana Marekani.
 
OK
Am 31,nimesoma diploma ya medicine(clinical officer)
 
alafu watu wengi watafikiri AY hela kapatia kwenye malipo ya kesi ya Tigo kumbe jamaa kitambo mfukoni yuko vizuri...

ukitaka kumjua jamaa kiundani kuna ile YATCH inakodishwaga kule slip way na fanya research yako vizuri kuhusu mwekezaji wa kisiwa cha mbudya pamoja na viboti vya kwenda mbudya kutokea whitesand hapo ndio utajua AY ni don kitambo.. hadi wenzake huwa wanamuita EL Chapo au senator wa mbudya sababu ya mfuko kutuna
Na kwakuongeza jamaa ana hekari nyingi za mupnga Ifakara.
 
Wakazi wenyewe wanaijua miji yao, wanajua wapi pa kwenda, wapi si pa kwenda.

Tabia moja ya miji ya Marekani, unaweza kukuta mji sehemu hii poa, ukivuka kidogo tu, umeingia sehemu si poa.

Hizi lists zinaonesha average figures, sasa kwa mtu anayejua sehemu poa na sehemu si poa, anaweza kuzishangaa figures kwa sababu yeye kaishi miaka yote na hajawahi kuibiwa, labda kwa sababu wezi wanamjua, au hatembelei sehemu ambazo zina wizi.

Sasa ukienda wewe mgeni kichwakichwa unauawa mara moja.
Hapo nimekupata vyema ...ni sawa sawa uambiwe ukienda kuishi dar iepuke tandale, manzese, na kigogo kwamba kule kuna robbery etc!
 
Back
Top Bottom