hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Aiseee kweli kabisa" huko IG pasingekalikaKuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kweli kabisa" huko IG pasingekalikaKuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Napapenda kisumu kenya .....Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Wi-fi....ha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu
hahahaaaAY na mwana FA kuna ile kesi yao na ikampun ya 0713 zile billions walipewa? Au ilikuwaje mwenye update anijulishe maana yule mganga nilikowapeleka washinde kesi ananisumbua sana
hahahaa akija baba yake naye"...........!?Hamna mkuu, kule ni shida huku wana wapo wengi hatubaguani, ila kule hata mtoto mdogo mzungu anaweza akakufanyia kitu na humgusi ukimgusa tu unaruka na jamii nzima, huku mtoto akikosea unamzaba kofi na akija baba yake unamwelezea naye anaenda kumzaba kofi
acha uongo,ubaguzi ndio silaha pekee tuliyobakiwa kuhalalisha weakness zetu,ukatili wetu,our greedness,na ubinafsi wenye vionjo vya rushwa.Worst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu
Hehehe watu mikakati yao ya maisha!Daah chezea mrwanda hataki kuvuta pumzi ya bongo.
Nimekaa sana na wajaulo wakanipiga msasa kwenye lugha ya kiluo.Napapenda kisumu kenya .....
Nawakubali sana wajaluo mkuu...
hongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
Long way back mzee wangu pesa yake aliipatia kwa wajaluo kule shirati so muda wote home nyimbo za kijaluo ikafikia kipindi ikabidi nimuunge mkono....Nimekaa sana na wajaulo wakanipiga msasa kwenye lugha ya kiluo.
Ni watu poa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee Ukipata Muda Sikiliza Migingo ya Atomi Sifa kuna dundo mle ambalo sio la kawaida.Long way back mzee wangu pesa yake aliipatia kwa wajaluo kule shirati so muda wote home nyimbo za kijaluo ikafikia kipindi ikabidi nimuunge mkono....
Hadi navyoongea kwa sasa ni mimi na nyimbo za hao jamaa halafu ni watu safi sana hawana shida kabisa....
Tafuta ang'engo ya osogo na kuna moja inaitwa Alandlord na kanungo hatari sana Mkuu hapo unashushia na bia zako maisha yanakuwa murua kabisa.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee Ukipata Muda Sikiliza Migingo ya Atomi Sifa kuna dundo mle ambalo sio la kawaida.
Nimeishi sana huo ukanda Elimu yangu yote ya Msingi nimesoma huko.
Dah hawa watu nyimbo zao zinatoa burudani tosha.Tafuta ang'engo ya osogo na kuna moja inaitwa Alandlord na kanungo hatari sana Mkuu hapo unashushia na bia zako maisha yanakuwa murua kabisa.....
Ngoja nifanye kuingia google mkuu....
Huyo ana ela ya kawaida sanaa,Mkuu hizi stori mbona kama za kijiweni ndio yale yale ya jay dee kua na pesa kuliko wasanii wote
Mwenye hela atazionesha tu bila hata ya kutaka. Yani pesa hujionesha.mimi sio team wcb ila naamini diamond ana pesa
Mkuu hapo US, ela ya kibongo ya bilion 1 siwez pata flat ya vyumba vitatu na sebule?Karibu Marekani AY.
Fanya hivyo Mkuu....Dah hawa watu nyimbo zao zinatoa burudani tosha.
Ngoja nizisake hata nisikilize.
Fanya hivyo Mkuu....
Inaonekana hawa ndugu zetu wajaluo wana uhusiano na wanaijeria maana kuanzia majina hadi sura wana correlate mkuu...