Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Hao ambao Beberu anawaoiga ni wadogo sidhani kama Kuna mtu atashangaa Kwa hili.

Apige Russia au China ndio tutajua ni Mkuu lakini kushambulia kina Iran,Venezuela na Nchi za hivyo sio ukui Bali ubabe Kwa sababu alishawazidi siku nyingi.

Sidhani kama Kuna Nchi yeyote ndogo ambayo Beberu atataka jambo lake wakabisha haipo.

Just imagine Ulaya yote imejaa Kambi zake,Mashariki ya Kati Kambi zake,Afrika hivyo hivyo kidogo ana Kambi chache Asia na Marekani Kusini ambako nako hawana Cha kumfanya.

Beberu alipigaga Japan sembuse Iran?
 
kufuatia kifo cha kiongozi mkuu wa iran Ayatollah Ali Khamenei.kumekuwepo na picha zinasambaa mtandoni zikionesha namna alivyokutwa na umauti baada ya mashambulizi kutoka marekani na isreal je ni upi ukweli wa picha hizo
Taarifa hizi sinasambaa ambapo Serikali ya Iran kupitia runinga ya taifa na shirika la habari la Tasnim, imethibitisha rasmi kifo cha Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khamenei (miaka 86).
 

Attachments

  • 642329022_2221696095031376_32250397696039388_n.jpg
    54.8 KB · Views: 17
Sio rahisi Kwa Iran ku counter Nguvu ya Beberu pamoja huyo Mke wake Israel.

Mfano hapa ndege 200 za Israel plus ndege za Beberu zikisaidiwa na makombora yaliyofushwa kutoka kwenye meli ulitegemea Iran iyakabili vipi?

View: https://www.instagram.com/p/DVT5ZwslBvt/?igsh=Z296NnA2NzdhaHMx
Hii Nguvu ni kubwa sana aisee Kwa Iran kuikabili,njia pekee waliyonayo Sasa ni guerilla war.

View: https://www.instagram.com/reel/DVUBG7tEbBa/?igsh=Nm12OWZiYnRiOXJu
By the way Kwa nini Iran hainaga Kilosi Cha Anga na ndege vita?
 
Utawala wa Kiislam uko kwenye katiba.

Rais aliyoko ndio atakuwa Ayatollah anayefuata.

sasa akishika hatam ndio ataamua kama wabadili katiba au lah.
Lazima atapiga magoti yaani Beberu na Mke wake wameapa kutoiruhusu Iran iwe Juu ya Mke wake kijeshi Kwa sababu atashindwa kudhibiti siasa za middle East.

Imagine Saudia ambako mnasema ni makazi ya Allah Iko mikononi mwa Beberu.

Huu ukweli unaudhi sana Bora Dunia upate mbabe mwingine
 
Wala sio sababu, ni chuki tu za USA. Mbona Saudi Arabia ina udikteta zaidi na imetawaliwa na familia moja kwa miaka zaidi ya 70 sasa!! Ila haiwezi guswa hata wafanyeje sababu ni kibaraka wao. USA ni wanafiki sana
Sio wanafiki ni masilahi tu,hata Saudi akienda kinyume na maslahi yao watammaliza kama hawakuwahi kuwa marafiki,IRAN anaingilia sana maslahi ya USA na Israel ndio kilichomponza.
 
Sawa tusubiri USA wakimaliza kuigeuza Iran majivu uone kama kuna mabadiliko yoyote yatakuja!! Ndio kwanza chuki kwa marekani itazidi.
Kwenu akili ndogo kobazi wa rufiji,ila raia wa irani wamesherekea sana na kufurahi gaidi mkuu kuuwawa.
 
Iko kikosi unacho ulizia kilisha sambaratishwa pamoja na ndege zake zilizo zeeka zote ishwa na
 
Kwenu akili ndogo kobazi wa rufiji,ila raia wa irani wamesherekea sana na kufurahi gaidi mkuu kuuwawa.
Raia gani wakati wanafunzi 200 wameuwawa na makombora ya Israel kwenye shule!!

Mie sio kobazi, na sielewi kwanini mtu hawezi kuwa mkristo na akaipinga marekani!! Hivi akili za wapi hizi? Mbona Russia wakristo na wanaiunga mkono Iran na kuwapinga USA?
 
Ila kwa sasa raia wamechoshwa pia na uongozi wa dola ya kiislam mana wamekandamizwa kidini hhku viongozi hao wakiishi maisha ya anasa.

Wacha waondoke mana ni wafadhili wa kubwa wa ugaidi duniani.
 
Kwan n lini mliwah kuipenda USA?
Kama mnajua ya nini kubadili utawala sasa? Si anayekuja atakua yaleyale tu. Au mmesahau ya Syria katoka Assad kaingia mwenyekiti wa Al Qaeda Syria yaani Al Jolani. Kule Iraq alingolewa saadam leo tumerudi kulekule. Same to Afghanistan Bush aliwang'oa Taliban ila tunapoongea hapa nchi inaongozwa na Taliban.
 
Vita havina macho hiyo inaitwa collateral damage,ila nitakushangaa sana kama mkristo unaunga mkono dola inayofadhiri ugaidi duniani ambayo imeua na kuangamiza wakristo wengi kama dola hiyo ya kiislam ya irani.
 
Kila kobaz atalambishwa moto kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…