ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sasa itakusaidia nini unatumia Rasilimali zako kujijenga harafu unakuja kushambuliwa unauwawa,unaharibiwa Rasilimali, utaratibu huo wa Maisha Hadi lini?Hakuna kitu kama hicho, labda watume jeshi la ardhini likapambane na Basij militia na IRGC (haya ni nje na jeshi la kawaida) yanayolinda mapinduzi.
Ayatollah mpya atatangazwa maisha yataendelea
Ugaidi ni nini? Saudi Arabia inasupport RSF nao si magaidi ama? Israel inaipa silaha na mafunzo SDF/PKK/HTS wa Uturuki na Syria ambao wamelistiwa kama magaidi na CIA!!Vita havina macho hiyo inaitwa collateral damage,ila nitakushangaa sana kama mkristo unaunga mkono dola inayofadhiri ugaidi duniani ambayo imeua na kuangamiza wakristo wengi kama dola hiyo ya kiislam ya irani.
Ndio kaweka misingi ya uchumi na elimu au unadhani na hivyo vikwazo wangetoboaje miaka yote hii wasiwe kama Zimbabwe?Sasa itakusaidia nini unatumia Rasilimali zako kujijenga harafu unakuja kushambuliwa unauwawa,unaharibiwa Rasilimali, utaratibu huo wa Maisha Hadi lini?
Acha uongo Marekani pekee tu kaua wakristo wangapi DRC, Angola, Mozambique? Hiyo vita ya Congo tu walikufa watu million 5 majority being Christians!! So ukitaka kwenda kwa angle ya dini sidhani kuna mtu kauwa wakristo kama USA!!unaunga mkono dola inayofadhiri ugaidi duniani ambayo imeua na kuangamiza wakristo wengi kama dola hiyo ya kiislam ya irani.
nimecheka kama wazimu🤣🤣🤣Naskia sigda inakuwa taa huko peponi, sasa peponi gani hy ina giza 😂 Hy n popobawa au pepo mchafu?
Ile ya Maduro haikukaa sawa.Huu ni upuuzi wa Hali ya juu sana Yani marekani anaamua tu kumuua mkuu wa nchi nyingine kwa mamlaka Gani aliyo nayo? Iran msikubali ipite hivohivo atazoea huyu
We ni kobazi muandamizi, kama kweli wewe Mkristo hebu andika:Raia gani wakati wanafunzi 200 wameuwawa na makombora ya Israel kwenye shule!!
Mie sio kobazi, na sielewi kwanini mtu hawezi kuwa mkristo na akaipinga marekani!! Hivi akili za wapi hizi? Mbona Russia wakristo na wanaiunga mkono Iran na kuwapinga USA?
Tumehuzunishwa sana na mauaji ya kikatili aliofanyiwa mtakatifu ayatollah.Ila hakuna cha kufanya kwa yaliyotokea,ila tuh nikuwapa pole ndugu jamaa na marafiki.mola ailaze roho yake mahal pema pepon. Ila tutazid kuiombea dua taifa hilo,kwa magumu wanayopitia.polen sn ndugu zangu waislamu.
Duuuhmtakatifu ayatollah
Ayatollah mdomo ulimponza
Ayatollah mdomo ulimponza
Ahmedinejad naye mdomo ulimponzaAyatollah mdomo ulimponza
Kwa jinsi msinyo na akili hata kifo cha kahaba na toto lake shenzi Abdul mtauzunika.Tumehuzunishwa sana na mauaji ya kikatili aliofanyiwa mtakatifu ayatollah.Ila hakuna cha kufanya kwa yaliyotokea,ila tuh nikuwapa pole ndugu jamaa na marafiki.mola ailaze roho yake mahal pema pepon. Ila tutazid kuiombea dua taifa hilo,kwa magumu wanayopitia.polen sn ndugu zangu waislamu.
kwani kuna ubaya gani kuwa kibaraka, si ndiyo uchawa wenyewe kama bongo?Teari iran ishakuwa kibaraka wamarekani hakuna ubishi nchi ishauzwa iyo.. jiandaeni kwa mfumo mpya wa uongozi usiokuwa wa kidini au ayatollah mpya lazima awe kibaraka wa marekani.
ewaaakwani kuna ubaya gani kuwa kibaraka, si ndiyo uchawa wenyewe kama bongo?