Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Ayatollah Kisha sema tulipiga kwenye mishono kabisa hawatasubutu kugusa tena Iran, hizo ni bla bla nyingi tu kujidai wataigusa Iran.Hahaha,
Ingekuwa maneno ndiyo uhalisia mandevu angetesa watu mno.
Ayatollah aliishi shimoni hadi akapauka
Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatokaSasa Swali linakuja...ni kiongozi gani wa juu wa Jeshi la Israel aliuwawa.....??
Kwa Iran wote tunajua ya kuwa viongozi karibia wote wa kijeshi wakiongozwa na mkuu wa majeshi waliuwawa...
Au maana ya kipigo anayoizungumzia Ayatollah ni ipi?...
Kobazi hapo wamefurahi,wamesahau kua israili mtoa roho yupo kazini.Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Israel hawatakaa wathubutu kwa jinsi Iran alivyowazibua kila kona mashoga waleHabari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Punguza mdomo kiongozi Dunia ya sasa hakuna taarifa utaweza ficha kama MatterCall sema ni viongozi yupi na yupi wali malizwa kwenye hivo vita upande wa israelIsrael huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Huna akili! Mtu afe familia ikae kimya!!!Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Humjui muyahudi wewe hakuna anaeruhusiwa kusema hivi unajua Kama waisrael zaidi ya 800 walipoteza maisha? Katika hio vita?, mkuu wa mossad aliiwa kichwa, marubani 16 walifutwa iliposhambuliwa air defense HQ, upumbavu wa muyahudi alidhani zile shelters wanazojikusanya zinawalinda Walizani ni rocket za Hamas, bro ile kitu inachimba radius hadi mita 800Huna akili! Mtu afe familia ikae kimya!!!
Unataka kusema kwamba Mkuu wa majeshi wa Israel Pamoja na msaidizi wake na Mkuu wa Itelijensia wa jeshi la Israel na Msaidizi wake na waziri wa ulinzi na Mkuu wa Idara ya usalama wa taifa woote waliuliwa na mashambulizi ya Iran alafu Israel wakaficha ?π π π π π π π π πIsrael huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Kipigo cha lini hicho πHabari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Wacha wee!!Ayatollah Kisha sema tulipiga kwenye mishono kabisa hawatasubutu kugusa tena Iran, hizo ni bla bla nyingi tu kujidai wataigusa Iran.