Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

Ushindi wa vita ni kufanikisha malengo.

Kama vita haina malengo una tofauti gani na kuanzisha vita isiyo na maana, vita ya kijinga, yaani we unajisikia tu kuanzisha vita unapigana hata hujui unapigana kwa sababu ya kipi.
Ni kweli ushindi ushindi wa vita ni kutimiaza malengo yako. Ikumbukwe
Ushindi wa vita ni kufanikisha malengo.

Kama vita haina malengo una tofauti gani na kuanzisha vita isiyo na maana, vita ya kijinga, yaani we unajisikia tu kuanzisha vita unapigana hata hujui unapigana kwa sababu ya kipi.

Israel kuua viongozi wa hayo makundi, na viongozi wa Iran kumemsaidia nini hadi sasa, malengo yake yote hayafikiwi.

Zaidi ya kupoteza pesa na kuharibu uchumi wa nchi hakuna faida yeyote.
malengo yote matatu ya Israel mbona yametimia!! Kwanza Mateka wote wamerudishwa Hamas kabaki na maiti tu hata na hao lazima awarudishe ama sivyo kipondo kita endelea!! Pili Gaza sasa si tishio tena kwa Israel 58% iko chini yao na tatu magaidi wa Hamas wasalimishe silaha na wasiwe viongozi tena huko Gaza hili litafanyika muda si mrefu na wakikataa kujisalimisha lazima watashushiwa kipondo cha kufa mtu!!
 
Back
Top Bottom