Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

Naona hujui chochote wewe, unaweza vipi kuitenganisha Israel na USA? Halafu unajua ya kwamba vita ni washirika? Kama hufahamu hilo nyamaza maana huwezi jus ni kwa nini Iran anajitahidi kianzisha na kudhamini proxy.

Mimi sia mahaba na yoyote kati ya Israel au Iran sababu hakuna wanachonisa9dia ila huwa napenda sana kuwa mkweli na kuzungumza hali halisi ya mambo na huwa sifuati mkombo nahitaji fact.
US rais ni Trump na Israel waziri mkuu ni Benjamin Netanyahu.. umeelewa hayo ni mataifa tofauti, au unazungumzia kwa sababu ni allies...

Canada na US ndipo wanafanana hata cultures kwenye vyakula, lifestyle n.k sio kuniambia eti hakuna utofauti wa Israel na US.. hao hawafanani kiutamaduni na mtindo wa maisha umeelewa?

Israel anasaidiwa msaada wa pesa na technology kutoka US, Israel ni mshirika muhimu kwa US kwa sababu ya maslahi ya US yaliyopo middle east, umeelewa? kwa maana nyingine Israel ni kambi ya kijeshi ya US.

Na ukitaka kujua Israel inasaidiwa vipi ni kama hio B2 ya US iliyotumika kuishambulia Iran, Israel hawana uwezo wa kuwa na ndege kama hio.
Hata huo ugomvi na Iran ni kwa sababu US pia ni mnufaika.
 
Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Kila mara nikiziangalia picha za Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran huwa nasema walikufa kizembe sana Iran wao walishindwa vipi kuficha? Na hata kama utaficha wakuu wote wa Jeshi wamekufa familia na jamaa zao utawaambia wameenda wote kwenda kuswali?

Ayatollah hana ubavu wa kusema maneno hayo maana mwenyewe mpaka sasa anayo maumivu makali ya Jeshi lake kumomonyoka baada ya kipigo cha siku 12 huko Iran ambako majeshi ya Israel yalikamatia anga lote la Iran na walikuwa wanapiga kila walipoona panafaa, hiyo peke yake ilionyesha wazi udhaifu wa Jeshi la Iran lilikuwa linasifiwa na Wafuga Midevu na Majini wengi duniani lakini lilishindwa kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel katika kipindi cnotę cha vita.

Kwa umahiri mkubwa Majeshi ya Israel yaliweza kuwa na kambi huko ambayo Drones zao nyingi ziliunganishwa humo humo nchini kwao na zilikuwa ziko rush wa na kupiga maeneo mhimu kutokea ndani huu pia ni udhaifu wa hali ya juu sana katika Jeshi lao

Kingine Jeshi la anga la Israel liliwatumia sana wanawake katika mashambulizi yake ndani ya Iran na inasemekana hao makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran 30+ na wanasayansi wa Nuclear waliuwawa na marubani wa kike kutoka Jeshi hodari la Israel.

Pia Inaaminika wazi kuwa kituo cha wanamaji wa Iran kilichoko Bandar ABBAs kiliangamizwa na wanahewa wa kike kutoka Jeshi la anga la Israel sasa kwa hali hiyo Ayatollah hawezi kutoa tambo kama hizo mbele ya wanaume Jeshi la Israel.
 
Attachments

  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 19
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 20
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 15
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 14
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 17
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 22
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 18
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 16
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 24
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 16
Israel anasaidiwa msaada wa pesa na technology kutoka US, Israel ni mshirika muhimu kwa US kwa sababu ya maslahi ya US yaliyopo middle east, umeelewa? kwa maana nyingine Israel ni kambi ya kijeshi ya US.
Ni ujinga na upumbavu kusema Israel ni kambi ya US labda tu ni kutafuta faraja na kujipa moyo kwa kuogopa kusema wamepigwa na Israel.

Wafuga Midevu na Majini wana visingizio sana hasa wanapopigwa na majeshi ya Israel Mara zote husingizia eti inasaidiwa na Marekani sasa kwa nini wao pia wasisaidiwe na nchi zinazowaunga mkono kwenye ugaidi wao? Huu sasa umeshakuwa wimbo kila mara Israel inapowapiga magaidi hao waarabu-koko hawakosi kuitaja US na huo ndiyo ujinga uliopitiliza.

Israel na Marekani ni Allies kila nchi Ina uhuru wa kuchagua rafiki kama ilivyo kwa Iran na Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth,Islamic Jihad. Israel haikuishia tu kulalamika bali majeshi hayo yaliweza kumpiga Mbwa na Mwenye Mbwa Iran ndiyo maana sasa hivi magaidi wote wako kimya baada ya Baba yao Iran kuchakazwa vibaya katika vita vya siku 12 tu!!!
 
Binafsi naona Iran ndiye alipigwa maana viongozi wake zaidi ya 40 waliuawa wazi wazi.
Kwa mara ya kwanza Israel ilifanikiwa ingiza ndege kwenye anga la Iran
 
US rais ni Trump na Israel waziri mkuu ni Benjamin Netanyahu.. umeelewa hayo ni mataifa tofauti, au unazungumzia kwa sababu ni allies...

Canada na US ndipo wanafanana hata cultures kwenye vyakula, lifestyle n.k sio kuniambia eti hakuna utofauti wa Israel na US.. hao hawafanani kiutamaduni na mtindo wa maisha umeelewa?

Israel anasaidiwa msaada wa pesa na technology kutoka US, Israel ni mshirika muhimu kwa US kwa sababu ya maslahi ya US yaliyopo middle east, umeelewa? kwa maana nyingine Israel ni kambi ya kijeshi ya US.

Na ukitaka kujua Israel inasaidiwa vipi ni kama hio B2 ya US iliyotumika kuishambulia Iran, Israel hawana uwezo wa kuwa na ndege kama hio.
Hata huo ugomvi na Iran ni kwa sababu US pia ni mnufaika.
Hujui chochote kuhusu Israel na Marekani ndio maana unaandika gazeti tu hapa kwa taarifa yako myahudi wa US na myahudi wa Israel huwezi kuwatenganisha na hao ndio wametawala siasa za Marekani. Unapaswa ufahamu kuwa Marekan ni Israel na Israel ni Marekani hivyo Taifa lile lilianzishwa kimkakati ndio maana lina miaka michache lakini linasumbua wazee. Kwanza jiulize kabla ya hawa kina Netanyau kuja Israel walikuwepo wapi ndio ujue ukipagana na Israel unapiga na Ulaya na Marekan.
 
Ndivyo mnadanganyana kwenye kahawa?

Kwani Nigerian wa US ana tofauti na yule Nigerian yupo Nigeria?

US ina watu wa kila kabila, rangi, dini, utaifa... kaa hapo umeshiba makande unasema etiwayahudi wanaitawala US 🤣 😂 utoto raha sana.
 
Bora wanaobadirishana mawazo kwenye kahawa kuliko ninyi mnaojazwa uongo na Chuki kwenye Madrasa maana mmekosa maana kabisa mnapinga kila kitu hata kama cha kweli.

Tumewaambia Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi huko Iran lakini bado mnapinga na ukweli mnauona kwa macho yenu. Mmeona walivyogaragazwa Hamas,Hezbollah,Houth(Mawaziri zaidi ya 12 na Mkuu wa Majeshi wa Yemen waliangamizwa) Islamic Jihad(Viongozi wao 15 walifyekelewa mbali),Waasi huko Syria na Iraq,alivyopinduliwa Basha Assad,Kipondo cha siku 12 alichopigwa Iran na kuuwawa kwa makamanda wake waandamizi 30+ akiwemo Mkuu wa Majeshi,wanasayansi wa Nuclear 60+ na Askari wengine zaidi ya 1,000 waliangamizwa. Haya yote hamuyaoni kwa kuwa mmjazwa chuki za kijinga!!

Hata hapo umeambiwa ukweli lakini kwa kuwa umejitoa ufahamu huwezi kuyaona hayo!!!
 
Kuna ukweli gani hapo...

Israel ni mnufaika mzuri wa misaada ya US..

Israel anapewa technology na US, anasaidiwa vifaa vya ulinzi wa anga..

Anasaidiwa pesa kwa ajili ya budget yake ya ulinzi..

US inamtumia Israel Middle Eastkutimiza interests zake, umeelewa?

Nitolee story za Abunuwasi na utoto eti Israel anaitawala US, safari hii wananchi wa US wameipinga Israel hadi aibu... Netanyahu alikuwa anafikiria hii ni miaka ile ya 2004 yeye kuafuta sababu za hovyo ili kuwapeleka vijana wa US wakafie middle east... wamemkataa...

Sasa wameua hao viongozi, amefanikisha lipi? hayo makundi bado yapo, kiongozi wa Hezbollah aliuawa na US kwa kutumia kombora la bunker buster ambalo Israel hawana...

Hapo unaona ni jinsi gani kikundi cha mgambo kama Hezbollah kinapambana na Israel akishirikiana na US...

Hezbollah bado ipo na Israel imeshindwa ku defeat Hezbollha, maana walishindwa kuchukua hata kijiji kimoja... badala yake walianza kuua raia wa Lebanon Hezbollah ikalazimika kusimama vitakwa shinikizo la serikali.

Hamas bado wapo, houthis bado wapo, hao watu wenzao wakifa wanafurahi na kusema ni martyred, wamekufa shaheed, na wengine wanasema wanataka kufa hivyo, hao kwao kufa ni kama ibada muhimu sana... na wanajisifu.

Wao kufa ni kama ushindi, utashindana na mtu wa hivyo?
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe aki kwa kweli hiyo hamna akili, yaani lizee lilivyokimbia na kujificha, wakati Israel waliteka kabisa anga na kupiga popote, leo linaongea.
 
Israel ni mnufaika mzuri wa misaada ya US..

Israel anapewa technology na US, anasaidiwa vifaa vya ulinzi wa anga..

Anasaidiwa pesa kwa ajili ya budget yake ya ulinzi..

US inamtumia Israel Middle Eastkutimiza interests zake, umeelewa?
Endelea tu kujifariji na visingizio kedekede kuficha aibu baada ya magaidi mliokuwa mnawaramba Matako kupigwa na kuwaachia mateka wote na wakabaka na maiti tu ikiwemo ya Mtanzania wenzetu Joshua Mollel!!!! Pamoja na kubwabwaja kote huko Israel inabaki kuwa kidume huko Mashariki ya Kati na Uajemi!!!!
The
Sasa wameua hao viongozi, amefanikisha lipi? hayo makundi bado yapo, kiongozi wa Hezbollah aliuawa na US kwa kutumia kombora la bunker buster ambalo Israel hawana...

Hapo unaona ni jinsi gani kikundi cha mgambo kama Hezbollah kinapambana na Israel akishirikiana na US...

Hezbollah bado ipo na Israel imeshindwa ku defeat Hezbollha, maana walishindwa kuchukua hata kijiji kimoja... badala yake walianza kuua raia wa Lebanon Hezbollah ikalazimika kusimama vitakwa shinikizo la serikali.

Hamas bado wapo, houthis bado wapo, hao watu wenzao wakifa wanafurahi na kusema ni martyred, wamekufa shaheed, na wengine wanasema wanataka kufa hivyo, hao kwao kufa ni kama ibada muhimu sana... na wanajisifu.

Wao kufa ni kama ushindi, utashindana na mtu wa hivyo?
Kubwabwaja kwako kote huko huwezi kubadiri chochote magaidi wa Hamas ndiyo basi tena tuliwaambia toka mwanzo kuwa Hamas lazima waondoke we madarakanimlibisha sana lakini baada ya kipigo cha Mbwa-koko wao wenyewe walikubali kuwaachia mateka wote kwa ujinga wakabaki na maiti!!!!

Nakushangaa unaongelea Magaidi wa Hezbollah na Houth hivi hujui kwamba magaidi wote sasa hivi wanapumulia mashine? Hezbollah huko kaskazini mwa Israel watu walikuwa wamehama kuhofia magaidi wa Hezbollah lakini sasa hivi nyumba zilishatengenezwa watu walisharudi shule zilishafunguliwa na magaidi wa Hezbollah wanapigwa kila siku na wala hawathubutu kuishambulia Israel tena Jana tu wamepigwa vibaya sana na hatujaona wakifurukuta.

Eti wanakufa shaheed kama ni hivyo kwa nini Hassan Nasrallah aliuwawa akiwa kwenye shimo amejificha kwa nini asingejitokeza tu ili wamuue ili awe shahidiwa ukweli? Na kwa nini viongozi wa Hamas walioko Qatar wamekimbilia huko kwani wao hawataki kufa shahidi?
 
Kubwabwaja kwako kote huko huwezi kubadiri chochote magaidi wa Hamas
Israel ndio kaenda kufuata matakwa ya Hamas , Hamas waliomba mateka wake waachiwe, Israel ikajitia na zile sera zake ambazo hazitekelezeki ya kwamba watawaondoa Hamas pale Gaza na kuokoa mateka wote.

Kiko wapi? miaka miwili Israel vs migambo wa Hamas, ndani ya kieneo ukubwa wa kata mbili, hawajaokoa mateka hata mmoja... satellite, iron dome, vifaru, ndege vita n.k vimewasaidia nini?

Israel ina jeshi kubwa, Hamas wapo hawazidi 20,000 , imekuwaje wameshindwa kuwaondoa Gaza? wamezuia misaada ya chakula na dawa, ila jamaa wameshindikana.

Ndio maana ukiwa unaambiwa IDF ni overrated uwe unaelewa... hakuna jeshi pale.
Mission yao ya kuifuta Hamas imefeli vibaya. Israel kila eneo inafeli. Wewe unaweka mashoga jeshini unategemea nini?
 
Endelea kujipa moyo lakini ukweli unabaki palepale “Magaidi wa Hamas ndiyo basi tena”
 
Endelea kujipa moyo lakini ukweli unabaki palepale “Magaidi wa Hamas ndiyo basi tena”
Ushindi wa vita ni kufanikisha malengo.

Kama vita haina malengo una tofauti gani na kuanzisha vita isiyo na maana, vita ya kijinga, yaani we unajisikia tu kuanzisha vita unapigana hata hujui unapigana kwa sababu ya kipi.

Israel kuua viongozi wa hayo makundi, na viongozi wa Iran kumemsaidia nini hadi sasa, malengo yake yote hayafikiwi.

Zaidi ya kupoteza pesa na kuharibu uchumi wa nchi hakuna faida yeyote.
 
Wana rushaje missiles hovyo hali ya kuwa wana hypersonic bombs zenye usahihi mkubwa ambazo Israel haina uwezo kuzuia.

Malengo ya vita kwa Israel hayakutimia, waliomba ceasefire na Trump kakiri Israel kapigwa sana...

Kingine aliyejaribu kulenga vinu ni Israel ama US?

Ndipo ujue Israel si kitu kwa Iran...
Tuelezee wamerenga kwa Shabana kitu gani hadi uwaone wapo vizuri? Au Ile while ya watoyo na hospital Beersheba? Israel kuacha piga raia wa Iran mnaona walishindwa hahaha waulize viongozi wa iran wachana na propaganda
 
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa

View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy

Huyu ameathirika hadi akili. Kapigwa ndani ya nchi yake watu wake wakuu wanauliwa kama vifaranga vya kuku na yeye akakimbilia kujificha shimoni miezi kadhaa. Haoni hata aibu kuudanganya umma ambao umeona kilichotokea. adanganye kobaz wenzie ambao hawana Elimu. Sisi wengine tunacheka tu maana anatia huruma. Amerudi tena kwenye anga zake za mipasho.
IMG_3402.jpeg
IMG_3401.jpeg
IMG_3405.jpeg
IMG_3404.jpeg
IMG_3406.jpeg
IMG_3419.jpeg
IMG_3466.jpeg
IMG_3479.jpeg
IMG_3499.jpeg
 
Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Kama kama tv ya Qatari haikusema basi hizo unazoongea ni propaganda za kisiasa tu
 
Wamepigwa Iran mpk wakatulia kimya.
Mayahudi wamerudi kambini.
Iran wanaanza kutoka kujitamba tena
 
Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Yaani kiongozi afe na isijurikane? . Acha Story za vijiweni
 
Back
Top Bottom