Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

Unataka kusema kwamba Mkuu wa majeshi wa Israel Pamoja na msaidizi wake na Mkuu wa Itelijensia wa jeshi la Israel na Msaidizi wake na waziri wa ulinzi na Mkuu wa Idara ya usalama wa taifa woote waliuliwa na mashambulizi ya Iran alafu Israel wakaficha ?😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Hivi nyie mna akili kweli???

Kwa maana Iran vyeo vyote hivyo hapo walikufa..tena siku ya kwanza ya vita
Tatizo lako we unadhani kuwauwa wakuu ndio kwenye mshono kuna vitu au watu muhimu kuliko mkuu wa jeshi au viongozi. Iran alipiga kwenye mishono na hio Israel haita subutu kugusa tena Iran hata USA awe ndio anapigana aseme Israel.
 
Sasa Swali linakuja...ni kiongozi gani wa juu wa Jeshi la Israel aliuwawa.....??

Kwa Iran wote tunajua ya kuwa viongozi karibia wote wa kijeshi wakiongozwa na mkuu wa majeshi waliuwawa...

Au maana ya kipigo anayoizungumzia Ayatollah ni ipi?...
Viongozi wa Iran walilengwa kigaidi, walikuwa wanakuwa tracked na majasusi wa mossad kwa kipindi kirefu sana, ukizungumzia vita ilipoanza rasmi ya kurushiana makombora ni kweli kabisa Israel iliomba ceasefire, maana yale makombora ya Iran yalikuwa hayana namna ya kuyazuia.

Lakini kwa kulenga viongozi wa kijeshi wa Iran kwa kuvizia Israel ni kweli ilifanikiwa pakubwa kwa maana lilikuwa lengo lao la siri na kimkakati muda mrefu huku Iran ikijjua US inaandaa mazungumzo ya amani.

Lakini kivita Israel ilichapika.
 
, mkuu wa mossad aliiwa kichwa
Ndo maana tuna sema ilmu ya madrassa haijawah wasaidia kitu mpaka Leo una Amin propaganda mfu kua D.Barnea aliuwawa 😆😆😆😆😆🚮
 
Huwa nikikumbuka zile mbwembwe za Netanyahu za uzinduzi wa operesheni alizoziita RISING LION muda mchache zikageuka downing lion
 
Viongozi wa Iran walilengwa kigaidi, walikuwa wanakuwa tracked na majasusi wa mossad kwa kipindi kirefu sana, ukizungumzia vita ilipoanza rasmi ya kurushiana makombora ni kweli kabisa Israel iliomba ceasefire, maana yale makombora ya Iran yalikuwa hayana namna ya kuyazuia.

Lakini kwa kulenga viongozi wa kijeshi wa Iran kwa kuvizia Israel ni kweli ilifanikiwa pakubwa kwa maana lilikuwa lengo lao la siri na kimkakati muda mrefu huku Iran ikijjua US inaandaa mazungumzo ya amani.

Lakini kivita Israel ilichapika.
Hizi mada mnazileta zikiwa zimejaa uongo na ujinga mwingi si tulishazijadili au mliona uongo umekwama so unaleta upya kwenye thread mpya. haya elezea vita Israel ilichapika kwenye nini haswa? upande wa raia na mali zao au jeshi au serikali au bandari , airport au nini haswa? maana Iran walikili kuwa hali ilikuwa ni tete na ni huruma tu za Israel kuacha kuwachapa raia wa Iran ingekuwa ndio kiwango chenu cha kuchapa na kupachika hahaha Israel hakuwa na time ya kuua raia hovyo. Iran wao hali tete wakawa wanarusha tu hovyo hovyo rocket ziende haswa maeneo ya population huku Waisrael wakiwa protected a mahandaki. Iran walikufa ni elfu na ushee Israel ni 28 raia na Mjeshi mmoja akiwa mapumzikoni tena siku ya mwisho wa vita ya 12 days war
 
Wana rushaje missiles hovyo hali ya kuwa wana hypersonic bombs zenye usahihi mkubwa ambazo Israel haina uwezo kuzuia.

Malengo ya vita kwa Israel hayakutimia, waliomba ceasefire na Trump kakiri Israel kapigwa sana...

Kingine aliyejaribu kulenga vinu ni Israel ama US?

Ndipo ujue Israel si kitu kwa Iran...
 
Sasa Swali linakuja...ni kiongozi gani wa juu wa Jeshi la Israel aliuwawa.....??

Kwa Iran wote tunajua ya kuwa viongozi karibia wote wa kijeshi wakiongozwa na mkuu wa majeshi waliuwawa...

Au maana ya kipigo anayoizungumzia Ayatollah ni ipi?...
Hapa hata mimi huwa sipati jibu hata kutoka kwa wachambuzi wa siasa wa bongo. Yaani mtu viongozi wake wakubwa karibu wote wa kijeshi waliuwawa jumlisha viongozi wa washirika wake kama hamas na Hezbulah huku wao waliishia kuporomosha majengo tu bado wanadai kuwa walishinda vita, hii inashangaza sana.
 
kushinda vita ni kufanikisha malengo ya vita si kuua viongozi, kila vita ina malengo, je vita aliyoanzisha Israel dhidi ya Iran malengo yalikuwa yapi? ametimiza?
 
Kama kuuwa viongozi wa juu wa kijeshi wa irani ndio ushindi, kwanini Netanyau aliomba poo?
 
kushinda vita ni kufanikisha malengo ya vita si kuua viongozi, kila vita ina malengo, je vita aliyoanzisha Israel dhidi ya Iran malengo yalikuwa yapi? ametimiza
Malengo ya Israel
1. Kupunguza uwezo wa kijeshi na kutengeneza silaa
2.Kueliminate viongozi wa kijeshi na wataalam wa nyukilia
3. Kupunguza tishio la Iran kwa Israel
Malengo ya Iran
1. Kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
Sasa hapo jaza mwenyewe nani amefanikiwa japo kidogo.
 
Unaongea upuuzi gani wewe, Netanyahu alisema malengo makuu.
-Kuangusha uongozi wa Ayatollah.(walifeli)
-Kushambulia vinu vya nuclear vya Iran ili wasifanye urutubishaji (Hii walifanya US maana Israel haina uwezo na vifaa, japo US nayo ilishindwa kuangamiza nuclear ya Iran.)-walifeli
-Kushambulia hypersonic missiles na kumaliza uwezo wa Iran kutengeneza silaha hizo(walifeli)

Matokeo yake Trump akaombwa na serikali ya Israel kuomba ceasefire, Iran ikajibu kama wanataka ceasefire waache kushambulia.

Israel ilishambulia viongozi wa kijeshi , air defenses na radars kwa kushtukiza na kwa wakati mfupi wakiwa wanajiandaa kutekeleza lengo kuu ambalo ni kuangusha utawala wa Ayatollah, kilichofuatia ilikuwa ni kilio.
 
Mimi na wewe nani anaongea upuuzi, waziri wa ulinzi wa Iran alitoka hadharani akakiri kuwa vita imewatia uharibifu hadi kutaka jumuiya ya kimataifa ilaani Israel wewe upo huko uliko unasema hawakudhurika. Hivi kwa akili ya kawaida tu mtu amekuchokoza halafu wewe ukajibu mapigo halafu akuombe muache kupigana ukakubali hapo nani meogopa sasa vitu vingine muwe mnatumia akili sio mihemko. Nakuhakikishia Iran angekuwa anaweza kuipiga Israel, Israel isingekuwepo pale masharik ya kati.
 
Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Kwanini hao maadui zao IRANI,PALESTINE na wengineo wasitoe taarifa za hao viongozi wa Mossad waliokufa kwenye mapambano kama ambavyo tunaona Israel wakiweka wazi kila kiongozi wanayemuua?
 
Mimi na wewe nani anaongea upuuzi, waziri wa ulinzi wa Iran alitoka hadharani akakiri kuwa vita imewatia uharibifu hadi kutaka jumuiya ya kimataifa ilaani Israel wewe upo huko uliko unasema hawakudhurika. Hivi kwa akili ya kawaida tu mtu amekuchokoza halafu wewe ukajibu mapigo halafu akuombe muache kupigana ukakubali hapo nani meoga sasa vitu vingine muwe mnatumia akili sio mihemko. Nakuhakikishia Iran angekuwa anaweza kuipiga Israel, Israel isingekuwepo pale masharik ya kati.
Tatizo unafikiri Iran ni nchi ya kihuni iliyojawa na mihemko na hasira dhidi ya Israel.
Kitu ambacho mnaaminishwa na media, kwa middle east ukitoa Israel, Iran ndio nchi ambayo wayahudi wanaishi wengi kuliko nchi yeyote ile, na wana synagogues zao hapo hapo kufanya ibada zao za kiyahudi.

Ingekuwa issue ni chuki hizo , Iran wananchi wake wangeanza kuwapiga hao wayahudi mitaani, angalieni weusi wenzenu South Africa wanachofanywa na wazulu.

Huo uwezo unaosema wa kuipiga Israel tayari Iran anao, na kaonyesha kilichotokea 12 day war, dunia imekiri zile missiles ni unstoppable US ametumia zaidi ya asilimia 25 ya interceptor zake za kuzuia makombora ili kuisaidia Israel ku intercept hypersonic missiles kutoka Iran lakini hamna kitu kimewezekana.

Iran ni taifa la wasomi, wana technology, wana uongozi na serikali, wanafanya maamuzi kwa akili , wana sheria zao.

Israel ilianza kulipua air defenses za Iran kwa ghafla na kushtukiza kitu kilichopelekea ndege nyingi za Israel kuingia na kufanya mashambulizi, Iran ilifahamu fika uwezo wake wa kuzuia missiles za Israel ni mdogo, Iran ikajibu kwa hypersonic.

Baada ya Iran kujibu kwa hypersonic, Israel ikashindwa kuzuia na mashambulizi yakawa yanapenya popote.

Ikawa piga nikupige, kumbuka Israel ni ndogo kieneo, na pia missiles zao walizotumia kubeba na ndege zina warhead ndogo, hivyo damage si kubwa kama hypersonic za Iran.

Kila mmoja alikuwa ana access ya kumshambulia mwenzake, ndipo Israel akaomba ceasefire, Iran ikakubali kwa sababu waliokuwa wanakufa ni wananchi wake.

Iran inajali wananchi , sio genge la wahuni wasio na mbele wala nyuma wanao endeshwa na hisia kuliko kutumia akili, walikubali ceasefire ili wajipange na kuzuia casualties kwa raia wake.

Israel aliomba ceasefre kwa sababu hypersonic za Iran hazikuweza kuzuilika, pia zilikuwa zinafanya damage kubwa sana, hivyo vita ingeendelea Israel ingeharibiwa hovyo kuliko unavyodhani, Iran pia ingeharibika na wananchi wangekufa wengi... lakini Iran wana eneo kubwa sana kuliko Israel.

Hivyo Israel calculation zake zilifeli, matarajio yao hayakwenda ilivyotarajiwa, badala yake wakaishia kuomba ceasefire... Lakini kama wasingeomba ceasefire Iran ingeendelea kujibu kama kawaida hadi pale Israel ingefanana na Gaza.

Header-SF-MiddleEastQA-JD.jpg
 
Umeandika gazeti ila point haionekani, ingekuwa Iran hana chuki na Israel hao proxy kina Hamas, Wahouth na Hezbolah snawadhamini ili iweje!? Kifupi ni kuwa Israel yupo pale kwa kuwa Iran hana cha kumfanya hawezi mtu akakuvumia nchini kwako na kuuwa viongozi wako waandamizi wa jeshi na nyukilia halafu ukakubali kuthitisha vita kirahisi hivyo wadanganye wajinga. Na ujue hii kanuni kwamba yeyote qnapiganq na Israel viongozi wake wanaishi kwa huruma tu maana mda wowote akitaka anawaondo haijalishi wamejificha wapi na kashafanya hivyo hadi Iran.
 
Una kichwa kigumu kuelewa, anyway ngoja nikuache naona mahaba yamekujaa.

Iran haijaanza kuchokozwa kwa kuuawa viongozi wa jeshi na wanasayansi wa nuclear, hili jambo wanafanya Israel toka miaka mingi nyuma.

Iran ilianza kujibu juzi hapa kwenye operation iliziita true promise.

Vita hio ya 12 day war ilibidi Israel ashirikiane na US kuishambulia Iran, kwa sababu Israel pekee haina huo

uwezo, US ndiye alishambulia nuclear sites kwa sababu Israel hana huo uwezo, hana ndege kama ile na hana makombora kama yale.

Hivyo Israel si kama unavyojidanganya, imeshindwa kudhibiti Hamas ambao kwa namba hawazidi 20,000(elfu ishirini) ndani ya kiene kidogo cha Gaza hadi wamekubali kubadilishana mateka.

Vita yenyewe na Iran ilikuwa 12 days tu, na Israel akaomba ceasefire.

Kingine tambua ile ni ceasefire, unaelewa maana ya ceasefire, ina maana wamesimama kwa muda na bado wataendelea kunyukana kama kawaida, aliyeomba ceasefire ni Israel.

Kitu ambacho Iran anawazidi Israel ni uwezo wake wa kutotumia hisia zaidi, wanatumia akili zaidi.

Kuhusu vikundi kama Hamas, Hezbollah n.k ni vikundi ambavyo vipo kupigania maslahi ya nchi zao na watu wao huku Iran ikiwaunga mkono, ni kama NATO, USA wanavyo support Ukraine.

Kuuawa kwa askari wa ngazi za juu wa Iran na wanasayansi wa Iran sio ushindi kwa Israel, nguvu ya Iran ipo palepale.

Lakini malengo ya kuanzisha hio vita kwa Israel yalifanikiwa?
 
Naona hujui chochote wewe, unaweza vipi kuitenganisha Israel na USA? Halafu unajua ya kwamba vita ni washirika? Kama hufahamu hilo nyamaza maana huwezi jus ni kwa nini Iran anajitahidi kianzisha na kudhamini proxy.

Mimi sia mahaba na yoyote kati ya Israel au Iran sababu hakuna wanachonisa9dia ila huwa napenda sana kuwa mkweli na kuzungumza hali halisi ya mambo na huwa sifuati mkombo nahitaji fact.
 
Back
Top Bottom