100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
US rais ni Trump na Israel waziri mkuu ni Benjamin Netanyahu.. umeelewa hayo ni mataifa tofauti, au unazungumzia kwa sababu ni allies...Naona hujui chochote wewe, unaweza vipi kuitenganisha Israel na USA? Halafu unajua ya kwamba vita ni washirika? Kama hufahamu hilo nyamaza maana huwezi jus ni kwa nini Iran anajitahidi kianzisha na kudhamini proxy.
Mimi sia mahaba na yoyote kati ya Israel au Iran sababu hakuna wanachonisa9dia ila huwa napenda sana kuwa mkweli na kuzungumza hali halisi ya mambo na huwa sifuati mkombo nahitaji fact.
Kila mara nikiziangalia picha za Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran huwa nasema walikufa kizembe sana Iran wao walishindwa vipi kuficha? Na hata kama utaficha wakuu wote wa Jeshi wamekufa familia na jamaa zao utawaambia wameenda wote kwenda kuswali?Israel huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Ni ujinga na upumbavu kusema Israel ni kambi ya US labda tu ni kutafuta faraja na kujipa moyo kwa kuogopa kusema wamepigwa na Israel.Israel anasaidiwa msaada wa pesa na technology kutoka US, Israel ni mshirika muhimu kwa US kwa sababu ya maslahi ya US yaliyopo middle east, umeelewa? kwa maana nyingine Israel ni kambi ya kijeshi ya US.
Hujui chochote kuhusu Israel na Marekani ndio maana unaandika gazeti tu hapa kwa taarifa yako myahudi wa US na myahudi wa Israel huwezi kuwatenganisha na hao ndio wametawala siasa za Marekani. Unapaswa ufahamu kuwa Marekan ni Israel na Israel ni Marekani hivyo Taifa lile lilianzishwa kimkakati ndio maana lina miaka michache lakini linasumbua wazee. Kwanza jiulize kabla ya hawa kina Netanyau kuja Israel walikuwepo wapi ndio ujue ukipagana na Israel unapiga na Ulaya na Marekan.US rais ni Trump na Israel waziri mkuu ni Benjamin Netanyahu.. umeelewa hayo ni mataifa tofauti, au unazungumzia kwa sababu ni allies...
Canada na US ndipo wanafanana hata cultures kwenye vyakula, lifestyle n.k sio kuniambia eti hakuna utofauti wa Israel na US.. hao hawafanani kiutamaduni na mtindo wa maisha umeelewa?
Israel anasaidiwa msaada wa pesa na technology kutoka US, Israel ni mshirika muhimu kwa US kwa sababu ya maslahi ya US yaliyopo middle east, umeelewa? kwa maana nyingine Israel ni kambi ya kijeshi ya US.
Na ukitaka kujua Israel inasaidiwa vipi ni kama hio B2 ya US iliyotumika kuishambulia Iran, Israel hawana uwezo wa kuwa na ndege kama hio.
Hata huo ugomvi na Iran ni kwa sababu US pia ni mnufaika.
Ndivyo mnadanganyana kwenye kahawa?Hujui chochote kuhusu Israel na Marekani ndio maana unaandika gazeti tu hapa kwa taarifa yako myahudi wa US na myahudi wa Israel huwezi kuwatenganisha na hao ndio wametawala siasa za Marekani. Unapaswa ufahamu kuwa Marekan ni Israel na Israel ni Marekani hivyo Taifa lile lilianzishwa kimkakati ndio maana lina miaka michache lakini linasumbua wazee. Kwanza jiulize kabla ya hawa kina Netanyau kuja Israel walikuwepo wapi ndio ujue ukipagana na Israel unapiga na Ulaya na Marekan.
Bora wanaobadirishana mawazo kwenye kahawa kuliko ninyi mnaojazwa uongo na Chuki kwenye Madrasa maana mmekosa maana kabisa mnapinga kila kitu hata kama cha kweli.Ndivyo mnadanganyana kwenye kahawa?
Kwani Nigerian wa US ana tofauti na yule Nigerian yupo Nigeria?
US ina watu wa kila kabila, rangi, dini, utaifa... kaa hapo umeshiba makande unasema etiwayahudi wanaitawala US 🤣 😂 utoto raha sana.
Kuna ukweli gani hapo...Bora wanaobadirishana mawazo kwenye kahawa kuliko ninyi mnaojazwa uongo na Chuki kwenye Madrasa maana mmekosa maana kabisa mnapinga kila kitu hata kama cha kweli.
Tumewaambia Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi huko Iran lakini bado mnapinga na ukweli mnauona kwa macho yenu. Mmeona walivyogaragazwa Hamas,Hezbollah,Houth(Mawaziri zaidi ya 12 na Mkuu wa Majeshi wa Yemen waliangamizwa) Islamic Jihad(Viongozi wao 15 walifyekelewa mbali),Waasi huko Syria na Iraq,alivyopinduliwa Basha Assad,Kipondo cha siku 12 alichopigwa Iran na kuuwawa kwa makamanda wake waandamizi 30+ akiwemo Mkuu wa Majeshi,wanasayansi wa Nuclear 60+ na Askari wengine zaidi ya 1,000 waliangamizwa. Haya yote hamuyaoni kwa kuwa mmjazwa chuki za kijinga!!
Hata hapo umeambiwa ukweli lakini kwa kuwa umejitoa ufahamu huwezi kuyaona hayo!!!
Endelea tu kujifariji na visingizio kedekede kuficha aibu baada ya magaidi mliokuwa mnawaramba Matako kupigwa na kuwaachia mateka wote na wakabaka na maiti tu ikiwemo ya Mtanzania wenzetu Joshua Mollel!!!! Pamoja na kubwabwaja kote huko Israel inabaki kuwa kidume huko Mashariki ya Kati na Uajemi!!!!Israel ni mnufaika mzuri wa misaada ya US..
Israel anapewa technology na US, anasaidiwa vifaa vya ulinzi wa anga..
Anasaidiwa pesa kwa ajili ya budget yake ya ulinzi..
US inamtumia Israel Middle Eastkutimiza interests zake, umeelewa?
Kubwabwaja kwako kote huko huwezi kubadiri chochote magaidi wa Hamas ndiyo basi tena tuliwaambia toka mwanzo kuwa Hamas lazima waondoke we madarakanimlibisha sana lakini baada ya kipigo cha Mbwa-koko wao wenyewe walikubali kuwaachia mateka wote kwa ujinga wakabaki na maiti!!!!Sasa wameua hao viongozi, amefanikisha lipi? hayo makundi bado yapo, kiongozi wa Hezbollah aliuawa na US kwa kutumia kombora la bunker buster ambalo Israel hawana...
Hapo unaona ni jinsi gani kikundi cha mgambo kama Hezbollah kinapambana na Israel akishirikiana na US...
Hezbollah bado ipo na Israel imeshindwa ku defeat Hezbollha, maana walishindwa kuchukua hata kijiji kimoja... badala yake walianza kuua raia wa Lebanon Hezbollah ikalazimika kusimama vitakwa shinikizo la serikali.
Hamas bado wapo, houthis bado wapo, hao watu wenzao wakifa wanafurahi na kusema ni martyred, wamekufa shaheed, na wengine wanasema wanataka kufa hivyo, hao kwao kufa ni kama ibada muhimu sana... na wanajisifu.
Wao kufa ni kama ushindi, utashindana na mtu wa hivyo?
Israel ndio kaenda kufuata matakwa ya Hamas , Hamas waliomba mateka wake waachiwe, Israel ikajitia na zile sera zake ambazo hazitekelezeki ya kwamba watawaondoa Hamas pale Gaza na kuokoa mateka wote.Kubwabwaja kwako kote huko huwezi kubadiri chochote magaidi wa Hamas
Endelea kujipa moyo lakini ukweli unabaki palepale “Magaidi wa Hamas ndiyo basi tena”Israel ndio kaenda kufuata matakwa ya Hamas , Hamas waliomba mateka wake waachiwe, Israel ikajitia na zile sera zake ambazo hazitekelezeki ya kwamba watawaondoa Hamas pale Gaza na kuokoa mateka wote.
Kiko wapi? miaka miwili Israel vs migambo wa Hamas, ndani ya kieneo ukubwa wa kata mbili, hawajaokoa mateka hata mmoja... satellite, iron dome, vifaru, ndege vita n.k vimewasaidia nini?
Israel ina jeshi kubwa, Hamas wapo hawazidi 20,000 , imekuwaje wameshindwa kuwaondoa Gaza? wamezuia misaada ya chakula na dawa, ila jamaa wameshindikana.
Ndio maana ukiwa unaambiwa IDF ni overrated uwe unaelewa... hakuna jeshi pale.
Mission yao ya kuifuta Hamas imefeli vibaya. Israel kila eneo inafeli. Wewe unaweka mashoga jeshini unategemea nini?
Ushindi wa vita ni kufanikisha malengo.Endelea kujipa moyo lakini ukweli unabaki palepale “Magaidi wa Hamas ndiyo basi tena”
Tuelezee wamerenga kwa Shabana kitu gani hadi uwaone wapo vizuri? Au Ile while ya watoyo na hospital Beersheba? Israel kuacha piga raia wa Iran mnaona walishindwa hahaha waulize viongozi wa iran wachana na propagandaWana rushaje missiles hovyo hali ya kuwa wana hypersonic bombs zenye usahihi mkubwa ambazo Israel haina uwezo kuzuia.
Malengo ya vita kwa Israel hayakutimia, waliomba ceasefire na Trump kakiri Israel kapigwa sana...
Kingine aliyejaribu kulenga vinu ni Israel ama US?
Ndipo ujue Israel si kitu kwa Iran...
Hili jamaa jinga kweli kweliHabari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
View: https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Kama kama tv ya Qatari haikusema basi hizo unazoongea ni propaganda za kisiasa tuIsrael huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka
Yaani kiongozi afe na isijurikane? . Acha Story za vijiweniIsrael huwa wanaficha we hukusikia kikosi kizima kilimalizwa Gaza, wameficha sababu Netanyahu aliwakataza wasiseme itakuwa balaa huko Israel, pia viongozi wengi tu wamekufa wakijeshi na wa Mossad wanaficha siri zitatoka