Ushindi wa vita ni kufanikisha malengo.
Kama vita haina malengo una tofauti gani na kuanzisha vita isiyo na maana, vita ya kijinga, yaani we unajisikia tu kuanzisha vita unapigana hata hujui unapigana kwa sababu ya kipi.
Israel kuua viongozi wa hayo makundi, na viongozi wa Iran kumemsaidia nini hadi sasa, malengo yake yote hayafikiwi.
Zaidi ya kupoteza pesa na kuharibu uchumi wa nchi hakuna faida yeyote.