Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.
Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah
Una picha ya hao bikra 72 wenye macho kama mayai ?Yeye angeandaa msimamizi wa mirathi kabisa, ngoja afanye kufuga mindevu hapo kama libeberu atashitukia tu amazungukwa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Amka usingizini huyo ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati.Yeye angeandaa msimamizi wa mirathi kabisa, ngoja afanye kufuga mindevu hapo kama libeberu atashitukia tu amazungukwa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
sasa kati ya ayatolah na netanyahu anayejificha mapangoni ni nani?Amka usingizini huyo ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati.
Hakuna cha propaganda bali tunajionea live mwamba anavyoporomosha vyuma kuelekea Israel mara mbili bila majibu.
Leo Hezbollah wametuma ujumbe wa wazi kaba hakuna eneo hata moja ndani ya Israel ambalo hawawezi kulipiga.
Hakuna cha Iron dome wala THAAD ngoma imeenda hadi makazi ya Netanyahu bila kugundulika na mfumo wowote.
Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Katika sayansi ya vita muisrael kashacheza karata zake zote.Ayatollah ana hasira sana anajua kabisa Hamas wameenda na maji safari hii ni zamu ya Hezbolla.
Anajua kabisa wakiisha Hezbollah israel inaanza kumbamiza yeye Iran
MBWA HUYO NINA HAMU SANA KUUONA MZOGA WAKEYeye angeandaa msimamizi wa mirathi kabisa, ngoja afanye kufuga mindevu hapo kama libeberu atashitukia tu amazungukwa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Ni Ayatollah Ali Khamenei.Ayatollah Khomen,
Anatapatapa anajua zamu yake inakuja,Israel inajua adui zake sio raia wa Iran wala lebanon ndio maana inapambana na magaidi waandamizi cautiously.Amka usingizini huyo ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati.
Hakuna cha propaganda bali tunajionea live mwamba anavyoporomosha vyuma kuelekea Israel mara mbili bila majibu.
Leo Hezbollah wametuma ujumbe wa wazi kaba hakuna eneo hata moja ndani ya Israel ambalo hawawezi kulipiga.
Hakuna cha Iron dome wala THAAD ngoma imeenda hadi makazi ya Netanyahu bila kugundulika na mfumo wowote.
Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Kabaki mweupe sanaKabaki Katika sayansi ya vita muisrael kashacheza karata zake zote.
Ni plan Israel iko mbele 10 years wanawamalizia Hezbollah wanaanza kuwafanya makalio ya akina HayatolaKatika sayansi ya vita muisrael kashacheza karata zake zote.