Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3

Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.

Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah

Hezbollah imeshaisha, viongozi wote, hadi wajao wameshaliwa vichwa.

US Air force wanafunga mitambo ya Terminal High Altitude Air Defence kule Israel, US troops 100 wako tayari Israel kwa ajili ya kumvagaa mswali sunna Ayatola. Yeye haogopi?
 
Amka usingizini huyo ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati.

Hakuna cha propaganda bali tunajionea live mwamba anavyoporomosha vyuma kuelekea Israel mara mbili bila majibu.

Leo Hezbollah wametuma ujumbe wa wazi kaba hakuna eneo hata moja ndani ya Israel ambalo hawawezi kulipiga.

Hakuna cha Iron dome wala THAAD ngoma imeenda hadi makazi ya Netanyahu bila kugundulika na mfumo wowote.

Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Israel sio mwehu , vita Ina hatua , hata USA aliwekezq nguv Kwa Japan na kumuacha Ujeruman apambane na Wazungu wenzie , IDF wanataka kummaliza adui wa jiran ambae anampa kiburi Iran Kisha Iran ajiandae , Ndio maana unaona Ayotollah tumbo joto , anajua siku Hizbollah na Hamas wakidhoofika bas yeye Iran ataachiwa wananchi wake wamtoe
 
Hezbollah imeshaisha, viongozi wote, hadi wajao wameshaliwa vichwa.

US Air force wanafunga mitambo ya Terminal High Altitude Air Defence kule Israel, US troops 100 wako tayari Israel kwa ajili ya kumvagaa mswali sunna Ayatola. Yeye haogopi?
Huu upumbavu sijui mnautoa wapi,tatizo mnaishi kwenye giza la kiakili na mmefunikwa na blanketi la kufikirishwa na kuvizwa akili hadi mkawa mazuzu.Pole yako na chuki zako
 
Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Kama Hezbollah hawako serious na kama hawataki kuondoka na kichwa cha Nyau kwenye makazi yake binafsi walioshambulia walikuwa wanatafuta nini?kama siyo kichwa cha Netanyahu mwenyewe?.

Netanyahu ni kamanda wa ukweli hawezi akaliwa kichwa kizembe namna hii anajua kabisa kuwa nchi yake iko kwenye vita na nchi yenye nguvu za kijeshi(Iran) kupitia kwa mawakala wake Hezbollah, Hama's na Yemen halafu akajianike hadharani kama mamba anayeotea jua kwenye mchanga auawe.

Mbinu walioitumia Hezbollah ya kushambulia makazi binafsi ya mtawala ni Magufuli peke yake ndiye wangeweza kumla kichwa kwa kushambulia makazi yake binafsi Chato ambako alikuwa hakosekani hata pale nchi inapokuwa imekumbwa na majanga Magufuli alikuwa habanduki Chato.
 
Mimi ningemwelewa ayatolla kama angesaidia kuzuia vifo vya viongozi wa Hizbolla au Hamas au na yeye kutengeneza mfumo wa kuwauwa viongozi wa israel...
Idara za Ujasusi za Iran haziwezi kupenya Israel kufanya uhalifu huo ni udhaifu...
 
Ni ukweli ndo maana Israel imeshindwa kukomboa mateka wao wanaoshikiliwa na Hezbollah na jana Netanyahu nyumba yake imeshambuliwa
 
Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Unadhani ni nini kinawachelewesha kuondoka na hicho kichwa?

Unaandika kwa mapovu tu kama mbuzi wa kafara.
 
Kuna ujinga mwingi sana kwenye mijadala ya akina Ayatolla. Kama kulivyo na ujinga kumhusisha Mungu na mauji yaliyotokea katika utekaji wa Oktoba 7, 2023 na mauaji yanayoendelea sasa kwa watu wa Israel, Palestine na Lebanoni.

Hivi vita viishe tu. Sio kuweka ushabiki wa kipumbavu kama Ayatola kasema, wakati watu wanateseka na kuuawa. Basi aseme neno la kumaliza vita na uhasama sio kuchochea vita ambavo mwisho yeye mwenyewe ndie mlengwa.
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    162.1 KB · Views: 1
Juzi alisema/aliomba Nchi za KIARABU ziungane kumpiga Israel amabye ni adui wa UISLAMU.

Hapo ndio nilijuwa kumbe WAISLAMU ni WAARABU hawa Wengine wa hapa Kinondoni ni Washabiki tu kama walivyo washabiki wa SIMBA.
Hawa wa huku sio waislam, bali ni watumwa. Hata ikitokea mechi kati ya nchi ya kiarabu(Misri) vsTanzania, waislam(watumwa) wa bongo watakuwa upande wa Misri🤣
 
Back
Top Bottom