Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hezbollah imeshaisha, viongozi wote, hadi wajao wameshaliwa vichwa.
View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.
Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah
Israel sio mwehu , vita Ina hatua , hata USA aliwekezq nguv Kwa Japan na kumuacha Ujeruman apambane na Wazungu wenzie , IDF wanataka kummaliza adui wa jiran ambae anampa kiburi Iran Kisha Iran ajiandae , Ndio maana unaona Ayotollah tumbo joto , anajua siku Hizbollah na Hamas wakidhoofika bas yeye Iran ataachiwa wananchi wake wamtoeAmka usingizini huyo ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati.
Hakuna cha propaganda bali tunajionea live mwamba anavyoporomosha vyuma kuelekea Israel mara mbili bila majibu.
Leo Hezbollah wametuma ujumbe wa wazi kaba hakuna eneo hata moja ndani ya Israel ambalo hawawezi kulipiga.
Hakuna cha Iron dome wala THAAD ngoma imeenda hadi makazi ya Netanyahu bila kugundulika na mfumo wowote.
Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Huu upumbavu sijui mnautoa wapi,tatizo mnaishi kwenye giza la kiakili na mmefunikwa na blanketi la kufikirishwa na kuvizwa akili hadi mkawa mazuzu.Pole yako na chuki zakoHezbollah imeshaisha, viongozi wote, hadi wajao wameshaliwa vichwa.
US Air force wanafunga mitambo ya Terminal High Altitude Air Defence kule Israel, US troops 100 wako tayari Israel kwa ajili ya kumvagaa mswali sunna Ayatola. Yeye haogopi?
Kama Hezbollah hawako serious na kama hawataki kuondoka na kichwa cha Nyau kwenye makazi yake binafsi walioshambulia walikuwa wanatafuta nini?kama siyo kichwa cha Netanyahu mwenyewe?.Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Huyu mzee mpuuzi Sana. Viongozi wa juu wa hezbullah wengi wameliwa vichwa sasa huo ukubwa wa hezbullah upo wapi?
View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.
Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah
Yaani ayotolah ajifiche mapangoni?sasa kati ya ayatolah na netanyahu anayejificha mapangoni ni nani?
Ni kama mchezo wa draft ambapo Israel imeshapiga hesabu na moves 5 zitakazofuataKatika sayansi ya vita muisrael kashacheza karata zake zote.
Unadhani ni nini kinawachelewesha kuondoka na hicho kichwa?Sasa fikiria makazi ya waziri mkuu yanashambuliwa kirahisi hivi unadhani Hezbollah wakiwa serious kabisa si wanaondoka na kichwa cha Netanyahu wakati wowote licha ya kujificha mapangoni kama nguchiro.
Uzuri wa Israel sio waongeaji sana
View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.
Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah
Hawa wa huku sio waislam, bali ni watumwa. Hata ikitokea mechi kati ya nchi ya kiarabu(Misri) vsTanzania, waislam(watumwa) wa bongo watakuwa upande wa Misri🤣Juzi alisema/aliomba Nchi za KIARABU ziungane kumpiga Israel amabye ni adui wa UISLAMU.
Hapo ndio nilijuwa kumbe WAISLAMU ni WAARABU hawa Wengine wa hapa Kinondoni ni Washabiki tu kama walivyo washabiki wa SIMBA.
Hisbollah hihi ambayo wanakaa mapangoni?
View: https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3
Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena.
Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja wanaiweza Hezbullah
Hujaeleza huo upumbavu ni upi kwa sababu haupo.Huu upumbavu sijui mnautoa wapi,tatizo mnaishi kwenye giza la kiakili na mmefunikwa na blanketi la kufikirishwa na kuvizwa akili hadi mkawa mazuzu.Pole yako na chuki zako
Naona wanawamalizia 2 weeks no land advanceNi plan Israel iko mbele 10 years wanawamalizia Hezbollah wanaanza kuwafanya makalio ya akina Hayatola
Biden anabembeleza huko Lebanon vita visimame kwa kuwatumia vibaraka wao kina Samir Jaajah, Sami Gameel na Saad Al Harir 😄Naona wanawamalizia 2 weeks no land advance
Hawa inasemekana wengi wao wako hai Israel kauziwa mbuzi kwenye gunia 😄Uzuri wa Israel sio waongeaji sana