Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.

Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣

Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣

Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn

Bomu la tomahawk👇
Screenshot_20260703-115233~2.png
 
Bado kijana yule ana kazi nyingi za kufanya hata Ayatollah mwenyewe IRGC walikua wana muheshimu tu katika hali ya kawaida wasingeruhusu akae kwake kipindi cha tension kubwa kiasi kile na shambulizi walijua fika lina kuja aligoma mwenyewe kwenda kwenye safe house alikaa na wanafamilia tu Mojtaba hawezi kuwapinga IRGC maamuzi yao hata kama atataka kutoka hadharani mpaka waaamue
 
View attachment 3621145
Si kweli.Ndugu zetu waajemi hawaogopi kifo.Unawasingizia tu.Wale ni mashababi kwelikweli!
 
Bado kijana yule ana kazi nyingi za kufanya hata Ayatollah mwenyewe IRGC walikua wana muheshimu tu katika hali ya kawaida wasingeruhusu akae kwake kipindi cha tension kubwa kiasi kile na shambulizi walijua fika lina kuja aligoma mwenyewe kwenda kwenye safe house alikaa na wanafamilia tu Mojtaba hawezi kuwapinga IRGC maamuzi yao hata kama atataka kutoka hadharani mpaka waaamue
Kwa hiyo wanaogopa kufa? 🤣

Hao IRGC wenyewe Makamanda wao waliobaki ni waoga mno, kamanda wao mkuu Ahmad Vahidi nae ndio anaonekana leo
 
Hahahaha jina tu unaonekana mshumaa ***** yoso unahasira sana utakuwa upo period unaharisha😂
Sheikh mbona matusi Tena? Kifo hakuna huruma, mojtaba kasema ya nn afe mapema wali bado mtamu🤣🤣

Netanyahu mnamuogopa sana🤣
 
Hamna matusi ndiyo utaratibu wangu kuwajibu mashoga ambao wananishambulia na kutafuta sifa JF😂
 
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.

Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣

Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣

Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn

Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
Netanyahu mwenyewe anaishi maisha ya kujificha sana, viongozi wa Israel karibu wote wanaishi kwa kujificha sana.
 
Netanyahu anaishi maisha ya kujificha? Juzi TU alikua Lebanon kutembelea wapiganaji wake, fikiri TU eneo hilo wapo Hezbollah lakini Netanyahu anaenda Kila anapotaka kama sebuleni kwake, wakati huo huo mojtaba anaogopa hata kuonekana ndani ya nchi yake🤣🤣
Screenshot_20260703-214011.png
 
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.

Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣

Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣

Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn

Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
Yeah. Amepima upepo unavyovuma akajiuliza "hivi Tende unaziachaje ?" hiyo ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe nani alishathibitisha ni kweli hivo vitu vipo?
 
Au mwenzetu hujui kama Ayatollah bado anatibiwa na hajapona? Au ni ushabiki tu umekuzidi?
 
Netanyahu mwenyewe anaishi maisha ya kujificha sana, viongozi wa Israel karibu wote wanaishi kwa kujificha sana.
ila sio kama Iran, hata kwenye msiba ni wamepata kibali cha Marekani na Israel kutofanya operation yoyote
 
Kobazi huwa mnachekesha sana. Ila mudi aliwaweza sana
Huwa nawauliza Wana akili hizi hizi kama tulizonazo sisi? 🤣🤣
Leo huko Instagram nimecheka sana, wanasema Jana Ronaldo kabla ya kupiga penalty ile alitamka Bismillah, ndio maana akafunga🤣
Huwezi amini wote wanaamini kweli Ronaldo alitamka hivyo na kutamka hivyo ndio kulifanya afunge, Ronaldo amefunga magoli zaidi ya 900, kacheza mechi za Kila aina sijui alikua anafungaje hizo.
Kama Bismillah ndio sababu basi Saudi Arabia angekua bingwa wa Dunia mara 20🤣🤣

Alafu pia kitu mtu anachotamka moyoni wao wanajuaje alisema hivyo?masikitiko

Ritz
Chizi Maarifa
Screenshot_20260703-235908.png
 
Back
Top Bottom