Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

Huwa nawauliza Wana akili hizi hizi kama tulizonazo sisi? 🤣🤣
Leo huko Instagram nimecheka sana, wanasema Jana Ronaldo kabla ya kupiga penalty ile alitamka Bismillah, ndio maana akafunga🤣
Huwezi amini wote wanaamini kweli Ronaldo alitamka hivyo na kutamka hivyo ndio kulifanya afunge, Ronaldo amefunga magoli zaidi ya 900, kacheza mechi za Kila aina sijui alikua anafungaje hizo.
Kama Bismillah ndio sababu basi Saudi Arabia angekua bingwa wa Dunia mara 20🤣🤣

Alafu pia kitu mtu anachotamka moyoni wao wanajuaje alisema hivyo?masikitiko

Ritz
Chizi Maarifa
View attachment 3621781

Ndo utagundua akili hawana. Na umruliza maswali ya msingi. Saudi Arabia hawasemi Bisu milah ili nao wawe wanafunga? Kuna kobaz jike mmoja alikuwa kila mara anaanzisha uzi Ronaldo kasilimu. Ronaldo akiulizwa anasema ye ni Mkristo. Wanaumia. But Ronaldo akisilimu sijaona kitu cha kushangaza pia. Sifa moja ya kuwa Kobaz mzuri ni kutotumia akili.
 
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.

Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣

Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣

Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn

Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
Sidhani kama yuko hai kama yupo basi yuko mahututi.
 
Ndo utagundua akili hawana. Na umruliza maswali ya msingi. Saudi Arabia hawasemi Bisu milah ili nao wawe wanafunga? Kuna kobaz jike mmoja alikuwa kila mara anaanzisha uzi Ronaldo kasilimu. Ronaldo akiulizwa anasema ye ni Mkristo. Wanaumia. But Ronaldo akisilimu sijaona kitu cha kushangaza pia. Sifa moja ya kuwa Kobaz mzuri ni kutotumia akili.
Wao chochote cha uongo ilimradi kinasifia Imani wanapita nacho🤣
 
Back
Top Bottom