Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Si kweli.Ndugu zetu waajemi hawaogopi kifo.Unawasingizia tu.Wale ni mashababi kwelikweli!Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣
Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn
Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
Kwa hiyo wanaogopa kufa? 🤣Bado kijana yule ana kazi nyingi za kufanya hata Ayatollah mwenyewe IRGC walikua wana muheshimu tu katika hali ya kawaida wasingeruhusu akae kwake kipindi cha tension kubwa kiasi kile na shambulizi walijua fika lina kuja aligoma mwenyewe kwenda kwenye safe house alikaa na wanafamilia tu Mojtaba hawezi kuwapinga IRGC maamuzi yao hata kama atataka kutoka hadharani mpaka waaamue
Walitubeba ujinga eti viongozi Iran hawaogopi kufa 🤣Si kweli.Ndugu zetu waajemi hawaogopi kifo.Unawasingizia tu.Wale ni mashababi kwelikweli!
Sheikh mbona matusi Tena? Kifo hakuna huruma, mojtaba kasema ya nn afe mapema wali bado mtamu🤣🤣Hahahaha jina tu unaonekana mshumaa ***** yoso unahasira sana utakuwa upo period unaharisha😂
Hamna matusi ndiyo utaratibu wangu kuwajibu mashoga ambao wananishambulia na kutafuta sifa JF😂Sheikh mbona matusi Tena? Kifo hakuna huruma, mojtaba kasema ya nn afe mapema wali bado mtamu🤣🤣
Netanyahu mnamuogopa sana🤣
Netanyahu mwenyewe anaishi maisha ya kujificha sana, viongozi wa Israel karibu wote wanaishi kwa kujificha sana.Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣
Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn
Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
Hizo ni hasira sheikh, punguza kidogo🤣Hamna matusi ndiyo utaratibu wangu kuwajibu mashoga ambao wananishambulia na kutafuta sifa JF😂
Netanyahu anaishi maisha ya kujificha? Juzi TU alikua Lebanon kutembelea wapiganaji wake, fikiri TU eneo hilo wapo Hezbollah lakini Netanyahu anaenda Kila anapotaka kama sebuleni kwake, wakati huo huo mojtaba anaogopa hata kuonekana ndani ya nchi yake🤣🤣Netanyahu mwenyewe anaishi maisha ya kujificha sana, viongozi wa Israel karibu wote wanaishi kwa kujificha sana.
Yeah. Amepima upepo unavyovuma akajiuliza "hivi Tende unaziachaje ?" hiyo ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe nani alishathibitisha ni kweli hivo vitu vipo?Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na Israel. Anaishi maisha ya mapangoni kama otango sare🤣🤣
Hawa viongozi wa Iran Wanamuogopa Sana Netanyahu, wanajua hili jamaa huwa Hana utani, fasta TU anakukandamiza mabomu ya tomahawk 🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
100 others
Echolima1
hearly
6 Pack
mdogoee
Imeloa
ERTUGRUL BEY
hip hop uchwara
Khanji kapoor
zitto junior
gTurn
Bomu la tomahawk👇
View attachment 3621145
ila sio kama Iran, hata kwenye msiba ni wamepata kibali cha Marekani na Israel kutofanya operation yoyoteNetanyahu mwenyewe anaishi maisha ya kujificha sana, viongozi wa Israel karibu wote wanaishi kwa kujificha sana.
Acha matusi pumbaavu mkubwa weweUharo mtupu kajifunze kuandika wewe punguani.
Naskia yeye alowaambia hao mabikra kama wapo apewe hapahapa duniani🤣🤣Yeah. Amepima upepo unavyovuma akajiuliza "hivi Tende unaziachaje ?" hiyo ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe nani alishathibitisha ni kweli hivo vitu vipo?
Serikali ya Iran na waziri wa mambo ya nje Abbas Aragchi alisema yupo fit na mwenye afya njemaAu mwenzetu hujui kama Ayatollah bado anatibiwa na hajapona? Au ni ushabiki tu umekuzidi?
Kobazi huwa mnachekesha sana. Ila mudi aliwaweza sanaUharo mtupu kajifunze kuandika wewe punguani.
Huwa nawauliza Wana akili hizi hizi kama tulizonazo sisi? 🤣🤣Kobazi huwa mnachekesha sana. Ila mudi aliwaweza sana
Mzee mwenzangu tumezeeka sasa unaweza kasirika bila kutukana!!Hahahaha jina tu unaonekana mshumaa ***** yoso unahasira sana utakuwa upo period unaharisha😂