Huwa nawauliza Wana akili hizi hizi kama tulizonazo sisi? 🤣🤣
Leo huko Instagram nimecheka sana, wanasema Jana Ronaldo kabla ya kupiga penalty ile alitamka Bismillah, ndio maana akafunga🤣
Huwezi amini wote wanaamini kweli Ronaldo alitamka hivyo na kutamka hivyo ndio kulifanya afunge, Ronaldo amefunga magoli zaidi ya 900, kacheza mechi za Kila aina sijui alikua anafungaje hizo.
Kama Bismillah ndio sababu basi Saudi Arabia angekua bingwa wa Dunia mara 20🤣🤣
Alafu pia kitu mtu anachotamka moyoni wao wanajuaje alisema hivyo?masikitiko
Ritz
Chizi Maarifa
View attachment 3621781