Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
IRAN TAIFA TEULEBwana Utam sijui atakimbilia wapi!!
Nipo hapa ISFAHAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IRAN TAIFA TEULEBwana Utam sijui atakimbilia wapi!!
Pole kijanaUtawala wa Mullahs ukianguka Iran ita reclaim its past glory. Hawa watu wameharibu sana historia nzuri ya Iran. Wamewafanya wairan waishi kama watu wa zama za mawe kwenye nchi yao
Siku zote hua anaongea nao kwakuwapiga !!!??Jana niliona rais wao akiongea na wanafunzi wa chuo sijui Tehran kwa upole sana akisema...kuandamana sio vibaya lakini kuandamana na fujo sio sawa
Wewe ni msemaji wa Waajemi?
Mmarekani mbaya sana,aliwavuruga walibya mpaka sasa hawako sawa kaingia na iran sasa,watakuja kujutia baadae hiki wanachokifanya,time will tellMazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza...
Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za dini kutokuruhusu nywele kuonekana, kitazama na wengi sana.
Iranian authorities have reportedly begun negotiations with Venezuela to arrange future political asylum plans in the wake of concerns over ongoing protests in the country following the death in police custody of 22-year-old Kurdish woman Mahsa Amini, according to Iran International media.
Diplomatic sources have indicated to the aforementioned media that Iran has begun these dialogues with "its Venezuelan allies" with the objective of guaranteeing asylum to officials --and families-- of the regime in case the situation worsens.
In this sense, a delegation of four high-ranking officials of the regime would have visited Caracas in mid-October to make sure that the government of Nicolás Maduro would grant asylum, allowing them to enter the country in case "the unfortunate incident" occurs.
Likewise, Iran International's sources indicate that for weeks people and "a considerable amount of cargo" have been leaving for the Latin American country.
As reported by the Iranian channel, the British newspaper 'Daily Express' published at the end of October that officials of the Persian country were looking for passports in the United Kingdom for families fleeing Tehran.
Meanwhile, regular money transfers are being made abroad by high-ranking officials, while there are official reports that luxury properties are being sold below market value, according to Iran International.
CC: Bwana Utam
MSN
www.msn.com
Naibu msemaji wao hapa jf nyuma ya kimsboyWewe ni msemaji wa Waajemi?
Uache kiherehere[emoji1787]
Iko Iraq na sio iranQatar wameshangalia USA wanasema tuko pamoja na USA.
Halafu hii Iran si Ni nchi yenye history kubwa mno hata kwenye biblia. Ivi ndipo Eden garden ilipo.ile mesopatamia iko wapi ivi.
Yenu ni mengi au tuleta habari zako za upinde wa mvua?? Huna kazi ya kufanya ...Huko kwenu hamna majukwaa kama haya .
Aina ya watu kama nyie ni mambumbumbu kabisa huko kwenu ukabila kibao sasa unakuja huku kuleta ushamba wao..
Uliona wapi mjanja akatokea kwenu? Ushamba tu!!
Zipi unelate na hzina nguvu ...Unaonekana bogus kwani huna kaziBasi tulia hapo kama umeshindwa kuzileta, tutawaletea za maushetwani ya hiyo dini yenu mpaka mkome...
Haa yaani wairan wasio jua mgao wa umeme wala maji vinafananaje wanaishi kwenye ujima kuliko ww ambayo nchi yako imejaa giza kila sehemu?Utawala wa Mullahs ukianguka Iran ita reclaim its past glory. Hawa watu wameharibu sana historia nzuri ya Iran. Wamewafanya wairan waishi kama watu wa zama za mawe kwenye nchi yao
Mkuu maisha ni zaidi ya maji na umeme.Haa yaani wairan wasio jua mgao wa umeme wala maji vinafananaje wanaishi kwenye ujima kuliko ww ambayo nchi yako imejaa giza kila sehemu?
Sasa nyinyi mna maisha gani kuwazidi hao wa Iran mpaka useme eti wanaishi kwenye ujima?Mkuu maisha ni zaidi ya maji na umeme.
Sio rahisi kiivyo mkuu.wakiiangusha serikali yao basi ndio itakua mwisho kabisa wa kutamba kwa Iran katika medani za kijeshi na sayansi, maana USA wataweka mtu wao kila kitu kitakua sio siri tena kwa Marekani itakua kama Iraq na Libya
[emoji38][emoji38][emoji38] ndo ulichobakiza siku hizi