Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

Na hapa ndipo nashindwa kuulewa uislamu. Inakuwaje unampigania Mungu ambaye ana uwezo wa kushawishi watu wamwamini bila kutumia nguvu kubwa namna hii?
 
Ni hatua mapitio ktk ustaarabu wa binadamu. Hata Wakatoliki walimpigania Mungu wa Wakristo kwa zaido ya miaka 1260 kutoka karne ya 6 hadi karne ya 18. Waliua mamiliini ya watu waliokuwa wanaupinga Ukatoliki.
 
Na kama walifanya hivyo ni ujinga kama ujinga mwingine. Sisi waprotestant hatuamini kwamba vita vya Mungu wetu ni kwa jinsi hiyo ila tunaamini zaidi katika kushawishi
 
Back
Top Bottom